Recent content by ACED

  1. A

    Bachelor of science in biology

    Wapendwa mimi nimemaliza na kutunukiwa degree of Bachelor of Science in Biology(NATURAL SCIENCE). Naombeni kama kuna mtu anayefahamu sehemu ambayo kuna kazi imetangazwa which is relevant to my course study, anifahamishe.
  2. A

    Kwa wale degree holders mnaotaka kujiunga na JWTZ

    hizo nafasi zinatoka lini coz am ready for everything no matter what, they put me in front of the front line!
  3. A

    Ajira za Professional-JWTZ

    Jamani samahanini enyi rafiki zangu. Nauliza hivi eti nafasi za professional kwa upande wa JWTZ zinatoka lini? Naomba mwenye idea na hii issue anipashe. JKT wanachukua mwisho form six but for degree sifahamu. I need your help anyone please!
Back
Top Bottom