kuwaka taa nilimaaniasha ku blink yaan, zzinaweza kuwa zina blink mara tatu au zaid kutokana na tatizo liliopo, kuwaka taa kama ivo ni kawaida kwa kompyuta ikiwaka, ila natumai ulisha solve changamoto yako. kama tatizo linakua sio severe una solve mwenyw kuliko kumpelekea fundi akala ela yako...
Angalia kama kuna taa Zozote Zinawaka wakat kompyuta ina waka au kuna mlio inatoka yaan beep sounds
Kama kuna viashiria ivyo itakua rahis kutatua changamoto
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.