Hiyo ni psychological issue... Atafute tiba ya kisaikolojia zaidi atapona atakuw sawa... Huyo jamaa ni mzima tena mzima kabisa suala hapo lipo kwenye ubongo wake na namna anavyolichukulia tendo
Kwa atakaye hitaji kwenda japo kuviona vilipo Viwanja... Wikiend hii ya tarehe 16 na 17/December 2o17. Nitaenda site usafiri upo kuanzia kivukoni kwenda na kurud.... Tuwasiliane kupitia 0658 33 99 30 au 0762 06 88 39 ili ukavione viwanja
Karibuni viwanja vipo kigamboni mwasongwa.... Kwa atakae hitaji tuwasiliane bei imeshuka zaid kwa sq m kwa sasa nitakufanyia kwa bei ndogo sana.... Karibu ujipatie kiwanja kigamboni
Poa mkuu tutafutane kupitia namba za simu ziliwekwa hapo juu, tufanye biashara. pia ukiangalia vizuri kwa ukaribu kwenye huo mchoro utaona Viwanja vilivyo na ukubwa unaoanzia sq m 6oo ambayo ndio ukubwa wa kiwanja chenye 2o kwa 3o ..... Nitafute mkuu 0658 33 99 30 au 0762 06 88 39
Nitoe shukrani zangu za dhati kwa jf, nimepata wateja kupitia jf, na kwa sehemu kubwa nimewauzia Viwanja kwa bei ndogo sana, kwa sasa nimebakiwa na viwanja vichache... Kwa anaye hitaji tuwasiliane haraka kabla havija isha. Eneo ni zuri mno nje ya eneo lilipimwa kuna eneo dogo litakuwa sehemu ya...
Jaman wana jf, sasa nimebakiwa na Viwanja vitatu tu. Nitatoa ofa ya tshs 6ooo kwa m² badala ya 6200. Kwa hiyo kiwanja chenye ukubwa wa 2o kwa 3o utapata kwa tsh. 3.6 million. Karibuni kigamboni
Mkuu mimi sio dalali, nikuhakikishie hivo na hivyo viwanja ninavyo viuza ni sehemu ndogo tu ya viwanja vyangu nilivyonavyo ndio maana nikimaliza kuviuza vile nilivyopanga niviuze kwa dharura nitatoa mrejesho hapa jf kuwa viwanja vimeisha. Na moja kati ya vitu nilivyovipanga kuviweka sawa ni...
Nipende kuwashukuru members wote wa jf wanaonipigia simu wakihitaji viwanja na wengine wakiniulizia kama viwanja bado vipo,
jibu ni kwamba viwanja bado vipo jitahidi tu uwahi mapema ujipatie kiwanja chako kabla havija isha,
narudia tena viwanja ni bei nafuu sana wahi mapema upate kiwanja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.