Recent content by ACCOUNT FULL

  1. A

    FULL TIME || Simba SC 2 - 1 Mashujaa FC | NBC Premier league | KMC Complex | May 02, 2025

    Yani mchezaji wa Simba akiguswa tu faulo! Marefa wetu wanajiondoa sana fahamu, amechezesha dk 3 za ziada baada ya dk 6 kuisha! Na alikuwa hana habari kabisa.
  2. A

    Airtel Money hii maana yake nini kuidhinisha malipo bila idhini ya mteja. ( Kuna mchezo gani unaendela hapo Airtel Money)

    Sure! Ni kama mtandao ambao upo kwa ajili ya watu kuumizwa, maana habari ni hizi hizi na hakuna kinachobadirika!
  3. A

    Airtel Money hii maana yake nini kuidhinisha malipo bila idhini ya mteja. ( Kuna mchezo gani unaendela hapo Airtel Money)

    Airtel ni kama washajifia tuu, humu jamvini kila siku ni wao na habari mpya za kuumiza wateja wao, cha ajabu hawajali kabisa!!
  4. A

    Airtel inabidi mjitafakari. Kwanini mnawabebesha mawakala uzembe wa wateja?

    Ndio swali la kujiuliza, aliyetapeliwa alipate sms kuwa laini yake imetolewa hela hadi akaamua kupiga simu kuomba irudishwe.
  5. A

    Airtel inabidi mjitafakari. Kwanini mnawabebesha mawakala uzembe wa wateja?

    Kuna wakati umenielewa vizuri na kuna wakati hujanielewa, baadhi ya maelezo yako ni sahihi. KI ufupi ni kuwa, aliyetapeliwa kwa uzembe wake, yeye alichofanya ni kupiga simu Airtel akasema muamala urudishwe, ukarudishwa bila yule wakala kupigiwa Simu. Kumbuka wakala alimuhudumia tapeli kama...
  6. A

    Airtel inabidi mjitafakari. Kwanini mnawabebesha mawakala uzembe wa wateja?

    Hapa ni analia anatamani afunge tu Ofisi yenyewe
  7. A

    Airtel inabidi mjitafakari. Kwanini mnawabebesha mawakala uzembe wa wateja?

    Kabisa!! Sasa badala ya Airtel Money wawe fear, wao wanafanya maamuzi ya upande mmoja!! Haina maana kuwa wakala wa Airtel Money kama wanachukulia mambo rahisi hivi. Humu jukwaani nyuzi kibao zinalalamikia Airtel Money, lakini wapo kimya!!
  8. A

    Airtel inabidi mjitafakari. Kwanini mnawabebesha mawakala uzembe wa wateja?

    Kuna mdada anayeishi Tabata, ambaye aliwasajiliwa laini na mawakala wa Airtel waliokuwa wakipita mitaani. Bila yeye kujua, mawakala hao walifanya SIM swap kwenye laini yake. Baadaye, wale waliosajili laini hiyo waliitumia kwenda kwa wakala wa Airtel Money na kutoa pesa kwa njia halali—simu...
  9. A

    Msaada wa kiafya: Maumivu ya kifua yananisumbua (1)

    Mkuu habari, hili tatizo kama ulipona naomba kufahamu uliponaje, kuna mtu ana tatizo kama hili
  10. A

    Kiufupi hali ya uchumi ni ngumu sana , Mpaka Ma-radio yanategemea hela za kamari kuendesha shughuli zao na kulipa mishahara kwa wafanyakazi wake

    Hata mimi aisee...clouds imekuwa too much! Kamari siku nzima! Japo wenyewe hawataki waitwe wanachezesha kamari...kuna siku mshindi alisema nashukuru kushinda hii kamari, walimsahihisha fasta. Yani buku buku zetu zinatafutwa kwa kila namna!! Yakimaliza maredio sijui wataibuka wakina nani!
  11. A

    Unajiunga na kifurushi gani kwasasa?

    Hiyo ni kutokana na wewe unavyotumia line yako ndio wanakupangia vifurushi. Mimi Wife anapata kama huyo ila mimi gb 1 lazima niwe na elfu 3...tigo hao hao!!
Back
Top Bottom