Recent content by Abuunuuman

  1. A

    JamiiForums Tanzania Jinsi maji yalivyompotezea Utu na Masomo dada mwanachuo

    Nakumbuka hili Hadi leo kwasababu huenda ikawa inawakuta na wengine tusiowaona
  2. A

    JamiiForums Tanzania Jinsi maji yalivyompotezea Utu na Masomo dada mwanachuo

    Kizuri Cha kufahamu ni hali ilivyo na wakati Kuishauri SERIKALI ni jambo zuri, lakini tatizo lisingepata ufumbuzi Kwa wakati. Kitu pekee Cha kujifunza hapo ni kujua tu akikujia mtu na shida yake msaidie. Kutoa ni moyo si utajiri. Usimuwekee masharti kama hayo yatakayohatarisha utu wake
  3. A

    JamiiForums Tanzania Jinsi maji yalivyompotezea Utu na Masomo dada mwanachuo

    Maisha ndio yanayomfanya maskini kulala njaa sio Kwa kupenda kwake. Ukikutana na hali hiyo ndio utaielewa nahau isemayo lisilobudi hutendwa
  4. A

    JamiiForums Tanzania Jinsi maji yalivyompotezea Utu na Masomo dada mwanachuo

    Kaka nakushukuru sana. Najisikia vizuri Kwa kutambua hekima zangu. KWeli ushindi sio tu tunzo ya jf Bali hata kuvumilia ya watu ni ushindi moyoni. Atutunze sote
  5. A

    JamiiForums Tanzania SoC01 Kukumbushia Ahadi Za Serikali Ni Sehemu Ya Maendeleo Ya Jamii Yetu

    Jamii yenye ukamilifu wa huduma ni ile inayojitosheleza kupata huduma zote za msingi zinazohitajika Kila siku. Bahati mbaya sana iliyopo ni kukosekana Kwa baadhi ya huduma za msingi katika jamii yetu ya watanzania wengi na hata huduma zinazopatikana hazikidhi mahitaji kwa ukamilifu. Ili baadhi...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Jinsi maji yalivyompotezea Utu na Masomo dada mwanachuo

    Kwa Sikuweza kumsaidia Kwa kuwa sikumudu maisha Kwa wakati huo
  7. A

    JamiiForums Tanzania Jinsi maji yalivyompotezea Utu na Masomo dada mwanachuo

    Binafsi siamini kuwa ni wabishi
  8. A

    JamiiForums Tanzania Jinsi maji yalivyompotezea Utu na Masomo dada mwanachuo

    Free Chura ni kiungo Cha binaadam??
  9. A

    JamiiForums Tanzania Jinsi maji yalivyompotezea Utu na Masomo dada mwanachuo

    Sawa mwamba
  10. A

    JamiiForums Tanzania Jinsi maji yalivyompotezea Utu na Masomo dada mwanachuo

    Asante sana mkuu na mola atubarik sote katika kulea vijana wajao
  11. A

    JamiiForums Tanzania Jinsi maji yalivyompotezea Utu na Masomo dada mwanachuo

    Umetisha sana mkuu. Mungu akupe watoto wa kiume tu
  12. A

    JamiiForums Tanzania Jinsi maji yalivyompotezea Utu na Masomo dada mwanachuo

    Mategemeo hutofautiana kulingana na mahitaji pia, pengine bahati isiwe kwangu. Je unaonaje ujumbe hautawafikia walengwa?
  13. A

    JamiiForums Tanzania Jinsi maji yalivyompotezea Utu na Masomo dada mwanachuo

    Ukiwa km kijana leo na mzazi wa kesho unahisi kipi sahihi Cha kufanywa,?
  14. A

    JamiiForums Tanzania Jinsi maji yalivyompotezea Utu na Masomo dada mwanachuo

    Nisahihi kuishi maisha binafsi ukaacha ya watu. Siku ukijakumbana nayo utaona ni kiasi gani wazazi wanaumizwa na hali hizo
Back
Top Bottom