Recent content by Abuunahal

  1. A

    Serikali yakanusha Mabasi yaendayo kasi DART ni ya Kichina: "Ni kiwanda kilicho Assemble Mabasi tu"

    Wakuu nielekezeni namna ya kuweka picha niiweke maana nilipiga picha na jina la gari linaonekana nyuma
  2. A

    Serikali yakanusha Mabasi yaendayo kasi DART ni ya Kichina: "Ni kiwanda kilicho Assemble Mabasi tu"

    Hizo basi ni youtong,cku ya uzinduzi nilikuwa kimara na nikaipiga picha,halafu milango IPO chini sana haipo usawa Wa vituo vilivyojengwa,mbona mnatudanganya??!
  3. A

    Uzinduzi wa Mradi wa Mabasi yaendayo Kasi(BRT) Dar - Agosti 17, 2015

    Mkuu miaka 2 ni sawa na karne 2 za huo mradi ni miezi3 tu kushbehi.gari zenyewe yuotong halafu engine nyuma kwa matumizi ya wabongo ikienda 3/6 imechoka
  4. A

    TANESCO imekata umeme maeneo mengi ya nchi: Kuna nini?

    Mimi nipo Kinara wamekata umeme zaidi ya SAA sasa
  5. A

    Mkutano wa kumtambulisha Mgombea Urais UKAWA-Mbeya

    Mbona mliopo mbea hamleti updates....
  6. A

    Mada moto Channel 10: Edward Lowassa ndani ya UKAWA. Polepole amfananisha na malaya...

    Binafsi niliangalia kipindi hadi mwisho,anachofanya polepole anahisi ataonekana anazo data nzuri kwa ccm ili wamtumie kuchafua hali ya hewa,Mimi cjawahi kuwa na kadi ya chama chochote chs Siasa,ila kwa umri nilionao Nina kila sababu ya kuhitaji mabadiliko.ccm wanadhani kila MTU ni mbumbumbu Wa...
  7. A

    Huu unafiki wa Lowassa unatisha

    Tembo wameuwawa kipindi hiki pinda akiwa PM,wakati Wa lowasa hakuna alithubutu kufanya hivyo,pia wakati Wa lowasa alishaeahi kuwaambia mamlaka ya bandari kuwa hataki kuona kaxi zinacmama lazima kazi ifanyike SAA 24,alipoondoka tu uwaziri mkuu,uozo ukajirudia...
  8. A

    TANESCO na Serikali makato haya ni mzigo kwa watumiaji umeme

    Dawa ya hii adha ni -CCM +UKAWA hakuna namna nyingine maana tumechoka sasa!!
  9. A

    ITV: Kipima Joto wamegwaya

    Aisee hata Mimi nimejiuliza takwimu Leo zimekimbilia wapi,watu Wa N,H na S hawakuonyeshwa kabisa..
Back
Top Bottom