Recent content by Abuukacha

  1. A

    JamiiForums Tanzania Kama kuna aliye ripoti chuoni AMUCTA (SAUT TABORA)..

    shukran broo msaada wako nauhitaji sana acha niku pm ila naomba namba zako nikuchek hewani
  2. A

    JamiiForums Tanzania Kama kuna aliye ripoti chuoni AMUCTA (SAUT TABORA)..

    kwani ww tatizo lako nini kaka mipango haijakaa poa what should i do.? I hav t wait
  3. A

    JamiiForums Tanzania Kama kuna aliye ripoti chuoni AMUCTA (SAUT TABORA)..

    tulia ww unafkiri hela zinachimbwa ama nn.. As long as mwisho wa kusajili ni tareh 19 tutaenda tu.!
  4. A

    JamiiForums Tanzania Kama kuna aliye ripoti chuoni AMUCTA (SAUT TABORA)..

    Kwaiyo ndo inakuaje sasa dah vyuo vingine hivi shida tupu." kwaiyo ni kutafuta chumba
  5. A

    JamiiForums Tanzania Asus notebook pc inauzwa ila imeharibika invetor

    Nauza laptop aina ya ASUS NOTEBOOK ni mbovu imeharibika INVETOR bei 200,000 ila inapungua..NIKO TABATA MAWENZI..kama utaihitaji ni pm..
  6. A

    JamiiForums Tanzania Kama kuna aliye ripoti chuoni AMUCTA (SAUT TABORA)..

    Wakuu naomba mnijuze habari ya hostel zipo au ndo majanga.
  7. A

    JamiiForums Tanzania Loan appealing

    sasa kama hela imeisha wanasema tuappeal ili iweje kama c utapeli huu..
  8. A

    JamiiForums Tanzania Breaking newz from heslb (majina mengine yatoka tena)

    Did not secure a loan dah soo sad.. Ivi hii ishu ya kweli au ndo tunadanganywa
  9. A

    JamiiForums Tanzania Breaking newz from heslb (majina mengine yatoka tena)

    Inakuaje wametoa majina mengine af watu wakose pia
  10. A

    JamiiForums Tanzania Selection za TCU third round

    kaka umeangalia vipi unielekeze..
  11. A

    JamiiForums Tanzania Heslb uozo mtupu...

    Dah pole sana ila usife moyo
  12. A

    JamiiForums Tanzania Kwanini lawama kwa HESLB tu.

    acha usenge nyaji we milembe ongea mambo makuuma mawili ya maana unatuletea usengesenge nyaji apa..jiheshimu watu wanasononeka we unaleta umaku maku..
  13. A

    JamiiForums Tanzania watu wa nacte na mkopo

    ndio aquaculture kaka sua pale lakini nimecheki nimekosa na coz ina priority 100%
  14. A

    JamiiForums Tanzania Majina ya Waliopata Mikopo ya Elimu ya Juu 2013/2014 HESLB yatoka, Billion 306 zatengwa

    Inamaana nakte ndo tumekosa au kuna aliepata huku?
  15. A

    JamiiForums Tanzania Nacte hatimaye kuachia 3rd round selection.

    mkuu haujapata tetesi kuhusu sisi wa 3rd round tcu..
Back
Top Bottom