Recent content by Abuu Nuwas

  1. Abuu Nuwas

    Mchango wa vichwa vya Habari katika Kusambaza Habari Potofu

    Sahihi kabisa. Imekuwa ikiwa inatupotezea muda kwa kufatilia Yale ambayo sio sehemu ya malengo yetu.
  2. Abuu Nuwas

    Dalili za mwanamke anaekupenda

    Shukran kwa maoni yako Benny Haraba lakini hujajibu swali langu.
  3. Abuu Nuwas

    Dalili za mwanamke anaekupenda

    Kakofi ka uchokozi.... 😊
  4. Abuu Nuwas

    Nina ndoto ya kuwa tajiri wa dunia kutokea Afrika mpaka kufikia 2045

    Hakikisha umeweka malengo ya kile unachoamini kitakufanya uwe tajiri
  5. Abuu Nuwas

    Dalili za mwanamke anaekupenda

    Nimekuwa nikijiuliza Sana kuhusu dalili za mwanamke anaekupenda unamjua kwa ishara zapi? Mimi ninayofahamu ni tabia ya kuwa na tabasamu unapokuwa nae, vipi kuhusu body language yake......?
Back
Top Bottom