Mvunaji analipia ushuru/ kibali cha kuvuna miti,mchakataji wa mbao analipa ushuru,seremala analipa ushuru( leseni). Mtumiaji nae alipie ushuru? Bidhaa hiyo moja inalipiwa mara ngapi? Hii sheria irekebishwr kwani ni unyonyaji
Lulu kashatoka lakini muda aliokaa magereza ni fundisho tosha! Inasemekana magereza ni nusu ya jahanam,na bado hayuko huru kwani kifungo cha nje ina masharti pia.Hivyo mpeni amani na mama Kanumba usiendeleze chuki kwa " mkweo" samehe na Mungu akusamehe
Hao wanaopinga wana akili za kiduwanzi,kwani Ethiopia wanatofauti gani na sisi? Wengi Ni wafugaji,wakulima na kuna maskini zaidi yetu. Mnataka Tanzania ibaki karne ya 20? Kuboresha usafiri wa anga ni maendeleo makubwa !
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.