Recent content by Abuhafsa

  1. A

    Ongezeko la mshahara kwa watumishi wa umma kwa hapa Zanzibar

    Fomula inayotumika ni nyang'anti kwani uzoefu wa kazi mwisho miaka 12. Elimu yako ya mwisho ndio wanaanza kukuhesabia miaka hapo na kupelekea walomaliza masomo miaka ya karibuni hata kama wana uzoefu wa miaka mingi haizingatiwi. Na hao vikosi wanalalamika kwa sababu fomula inaazia elimu ya FIV...
  2. A

    Ongezeko la mshahara kwa watumishi wa umma kwa hapa Zanzibar

    TIRIGIVYOGO YA MSHAHARA Napenda kuchukua fursa hii kueleza maoni na hisia zangu juu ya ongezeko la mshahara kwa watumishi wa umma kwa hapa Zanzibar. Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kupitia raisi wake mpendwa kwa nia njema ilitangaza kuongeza mishahara ya watumishi wa umma kuanzia mshahara...
  3. A

    Makato ya tozo Benki ya PBZ

    Kila mteja wa PBZ anaetumia PBZ mobile ametumiwa ujumbe usemao: "Ndugu mteja, PBZ itaanza kutekeleza agizo la serikali la kutoza tozo kwa kila unapotoa pesa, kuanzia tarehe 01/07/2022. Asante kwa Ushirikiano" Ujumbe huu umewafadhaisha wateja wengi wa PBZ na kujiona kuwa hata kile kipato chao...
  4. A

    Chombezo la weekend: Matumizi ya shanga kwenye mapenzi

    Umekurupuka hukufanya utafiti wa kina kwani kwa upande wa utamaduni wa mswahili utakutana na vitu hivyo tena vinatumika tokea zama za zamani
  5. A

    Mimi niko tayari kuhesabiwa. Wewe je?

    Habari Usiku wa kuamkia tarehe 23/8. Ni siku ya Sensa na itabaki kuwa tarehe rejea ya siku ya sensa. Kuhesabu Watu kutaendelea kwa takribani siku 6 hadi saba kwa kuzingatia tarehe rejea. ieleweke kuwa sensa haiwezi kukamilika kwa siku moja kwa nchi nzima. Hivyo hata ukipumzika inawezekana siku...
Back
Top Bottom