Recent content by abubakar MT

  1. A

    Rais Samia aambiwe Makamu wa Rais ni Mkubwa kwa Rais wa Zanzibar, au anafanya makusudi!?

    Makamu wa rais, waziri mkuu hawana wajibu wwt watakaoweza kuufanya znz. Na raid wa znz hana wajibu wet kwa Serikali ya JMT. Pale raid wa znz atakapotambulika kama gavana wa znz kama ilivyo marekani ndio atakuwa chini ya makamu
  2. A

    Barua ya wazi kwa Rais Samia Suluhu Hassan kuhusu hali ya haki jinai nchini

    Kwa hili andiko hata MATAGA wameinamisha vichwa chini. Nadhani maundeleo ya kwanza na muhimu kwa kila mtanzania ni Uhuru na haki dhidi ya sheria kandamizi kwa serikali ya ccm
  3. A

    Serikali kupitia simu za mkononi, inaweza kukusanya fedha na kuanzisha Mfuko(Fund) wa kugharamia Bima ya Afya na Elimu ya Juu kwa Watanzania wote

    Tujaalie bima hiyo iwe ni kwa wazee na watoto pekee. Ambapo idadi hao ni kama watu mil 30. Kwa bil 240 maana yake kila mfaidika analipa shs 8000 kwa mwaka. Hakuna bima ya afya ya kiasi hicho. Kwa Leo ninatofautiana Na wewe
  4. A

    ATCL imeanza kupaa sana kimapato. Mbunge Zungu Ashauri serikali iige inachofanyiwa Ethiopian Airline na Serikali yao

    Nataka kuweka rekodi sawa. Nanukuu Mfano vitabu vya hesabu vinaonyesha shirika lilipata mapato ya jumla ya shilingi bilioni 100 halafu ikalipa serikali parking fee shilingi bilioni 120. Utasema hilo shirika linaendeshwa kwa hasara linakula hela za walipa kodi sababu limepata hasara ya bilioni...
  5. A

    Hayati Magufuli ni shujaa anayepigana na walio hai

    Maana ingine ya neno shujaa ni mtu asiye na uoga. Maana ya pili ni mtu katili, muuaji...
  6. A

    Prof. Assad hii hadithi ya Mtume S.A.W unaijua?

    Soma Quran sura inayoitwa Wanafiki ayah ya 4. Uone pale ukiishi chini ya mtawala katini aliyezungukwa na wanafi unapaswa uishi VP. AL - MUNAAFIQUN - 4 Na unapo waona, miili yao inakupendeza, na wakisema, unasikiliza usemi wao. Lakini wao ni kama magogo yaliyo egemezwa. Wao hudhania kila...
  7. A

    Mama Samia ameingia kwenye mtego wa wafanyabiashara kubembelezwa kulipa kodi, tumekwisha!

    Kodi ina principal mbili. Kusanya kingi kwa wachache au kusanya kidogo kwa wengi. Mama keshatoa mwongozo.... Ongeza wigo na maxingira ya walipa kodi wapya kwa kuwavutia wawekezaji. Nadhani unajua umuhimu wa wawekezaji ktk kukushanya kodi.. Sasa sijui ndugu unadhani principal gn inatufaa.
  8. A

    Tafsiri potofu ya agizo la Rais Samia kuhusu kodi itaigharimu Serikali

    Yenye aliepo ndani kaona kuwa task force za ukusanyaji wa kozi haziko sustainable. Na kwamba itafika siku tra itakosa MTU wa kwemda kumkamua..... Kwa nikivyomuelewa Mh SSH ni kuwa anatilia mkazo mapato ya serikali yatokane na uzalishaji na sio kutoza wafanyabiashara kodi kubwa kama ilivyo...
  9. A

    Tunahitaji mjadala mpana wa kitaifa juu ya timu ya watu inayounda 'Mamlaka za Uteuzi' nchini

    Hadi anastaafu alikuwa ni mteule ktk nafasi ya jaji mkuu. Lkn pia wapo mawaziri waliojumuishwa enzi hizo ulizozitaja hadi Sasa akiwemo Mh Maudline Cyrus Castico. # Yote kwa yote tuamini kuna tatizo kubwa. Na tatizo lililopo sasa si Rais kama mtu, bali tatizo mfumo. Mifumo mingi imejaa watu...
  10. A

    Tunahitaji mjadala mpana wa kitaifa juu ya timu ya watu inayounda 'Mamlaka za Uteuzi' nchini

    Waznz wanazingatia ujumuishi. Wapo wateule zaidi ya 1% waktristo, wenye asili ya asia, nk. Wakristo znz hawazidi 1%
  11. A

    Tunahitaji mjadala mpana wa kitaifa juu ya timu ya watu inayounda 'Mamlaka za Uteuzi' nchini

    Wapo asilimia 1%. Na ktk teuzi znz wanazingatia hiyo 1%. Wapo waznz wakristo na wenye asili ya asia
  12. A

    Niliwahi kuelezea nguvu ya Kanisa Katoliki katika Siasa za Tanzania nikadhihakiwa, sasa taratibu nadhani tutaelewana tu!

    Mtoa mada yuko sahihi hata hivyo ameshindwa kutofautisha kati ya wakatoliki na Walei. Walei hasa ndio wanaangoza utawala na Serikali nchini. Uwe dhehebu lolote lkn kamati inayopendekeza teuzi lazima ishikwe na Walei. Kwa ufupi nafasi zote nyeti zimeshikwa na walei. Walei ni wanataaluma wa...
  13. A

    Mkuchika ni Waziri Kazi Maalum, hii ilikuwepo pia enzi za Mwalimu Nyerere

    Wizara hui itakuwa dar au Dom..... Au atakuwa anashinda nyumbani au ofs gn
  14. A

    CAG: ATCL imeendeshwa kwa hasara kwa miaka 5 mfululizo

    Ukaguzi ulifanyika lkn huenda ripoti zilizuiwa zisitoke kutoka juu. Na ukweli kungeleta lugha gongana. Kwa mpendwa alilishwa natango pori kuwa shirika linaingiza faida
  15. A

    Je, Rais Magufuli alikuwa na Pacemaker au Defibrillator? Ilidukuliwa?

    Tz kuna MTU mmoja tu mwenye akili sana. Na nathubutu kusema akili yake amewazidi watz wote hata zikichanganywa akili zao. Ni bingwa wa lobbying Tz. Hana makazi maalumu nchi yyt ile. Ni mwanasisiem maslahi. Hajaonekana kwa hadhara kwa muda sasa. Jina la MTU Huyo ni . . . . . . . Nimeota...
Back
Top Bottom