Recent content by Abu Hekima

  1. A

    Msigwa: You can hate the government but love the country

    Njia iliyobaki ni nguvu ya uma tu,maana vyombo vya dola ni vya ccm,mihimili yote muhimu ipo mikomoni mwao,"If u dont fight for u claim,dont crying for what u loose"
  2. A

    Ntaanzisha kikundi kazi cha kupambana na uhalifu wa aina yoyote Tanzania

    Ilani:Simpendi mtu anayekatisha watu tamaa,hasa ktk mambo muhimu km haya,mapambano haya dhidi ya uchafu wa nchi hii unatakiwa uondolewe kwa nguvu zote,watu wote,mikoa yote,tutafishinda tuu.Km unajihisi hauna mchango piga kimya wanaume tutakukomboa na tutakutonya@Nitonye
  3. A

    Ntaanzisha kikundi kazi cha kupambana na uhalifu wa aina yoyote Tanzania

    "If u don't FIGHT for what u want,dont cry for what u loose"nasupport mapindizi ya kifikra na utawala.
  4. A

    Kumbe kilichomponza Agnes Gerald "Masogange" Kukamatwa ni kwa sababu ya KUJIREMBA...!

    Mzimu wa Mangwea utawamaliza tu,na sheria ya S.A ni 14yrs in prison,huko Roben Island.(Mastaa wa bongo ni ma drug dealers,comfirmed!!)
  5. A

    Misitu Yateketea.

    Tatizo uchomaji moto misitu linazidi kushamili maeneo mbalimbali nchini hasa kipindi hiki cha majira ya kiangazi,ktk Wilaya ya Tandahimba zaidi ekari 2000 zimeteketea ktk msitu wa hifadhi wilayani hapo,Je Mamlaka husika na vyombo vya Habari vinatoa mchango kiasi gani Kuelimisha Jamii yetu ktk...
  6. A

    Risasi zarindima TABATA UWANJA WA TWIGA Majambazi yaua Mfanyabiashara...!!!!!

    Asilaumiwe boda2 kwa kufukuza majambazi au kuuwawa,kwani inawezekana piki2 sio yake,hivyo ingelikuwa no vigumu kueleweka kwa tajiri, Hivyo angekuwa hai angekuwa na kesi ya kujibu kama kazi ya ulinzi,lkn ss wenye imani na hekima twamnukuu Rasul Allah kwamba anayekufa hali ya kuwa anatetea mali...
  7. A

    Wachina wamevunja sheria gani

    Ndio maana Ujasiriamali,u'should find the opputunity,competition ya kutafuta rizk china ni ngumu sana,so wanaangalia maeneo ambayo ushindani ni mdogo ili wakatafute huko,ndio maana machinga wa Kichina wanapatikana karibu Nchi nyingi za Africa,so chamsingi ni tujifunze tech yao ili nasi tujenge...
  8. A

    Atlanta: Mtanzania Azama Mtoni na Kupotea. Juhudi za Kumtafuta Zinaendelea

    Toani report kamilli km kesha kufa tuomboleze.
Back
Top Bottom