Kwa upande wangu naona kitu muhim sana ni kujuwa gari utakuwa unalitumia hasa kwa lipi kama ni daily driver au kwa long trips na kujuwa pia running costs za hio gari ili usilione chungu likishakuwa kwenye umiliki wako
Nilichukuwa 12.9M ilikuwa kwa mjeda mmoja aliagiza mwaka jana Japan sema yeye kaenda course nje ya miezi 6 Kaamua kuuza ilikuwa jumla na km 80,000. Nimepata na document zake kama user manual na vingine sijapata muda kuvipita
Kiukweli sina accurate value maana huwa naona yanakaribia kuisha najazilizia mfano mara ya mwisho ilikuwa nilitoa 120K ila ww piga hesabu forester karibia zote ni tank ni lita 60 piga kwa litre moja itakuwa shs ngap
Update: Asante sana kwa maoni yenu na ushauri wenu kwa kuwa sikutoa update mwezi wa 11 mwishoni niliamua kuchukuwa Subaru forester XT ile second generation version ya JDM . So far am loving it sijui kwa huko mbele.
Kama nilivyosema nyuma sina mizunguko mingi mara experience yangu ni nikijaza...
Mkuu nimependa sana comment yako, hasa hapo kwenye "youth generation" japo umri umeenda kidogo.
In terms of option i am open to options ila toaI IST na BMW mm mwenyewe nifanya research hasa hzo E90 zinamatatizo kwenye overheating.
Kutoa maelezo zaidi gari nitakayonunua nazini itakuwa second...
Amna chief naona ulikuwa hujanielewa sio kwamba ni mgeni kabisa kwenye upande wa magari hasa kwenye kuendesha kama miaka 3 hvi so vitu basics kama hvyo navijuwa sema nina ugeni kwenye hasa kununua ndio maana nimeomba ushauri
Habari wakuu karibuni natarajia kununua gari yangu ya kwanza ningependa kupata ushauri wenu kati ya hizi gari Subaru impreza (2009/2008) na crown athlete (2005/2006) au BMW 3 Series (2008).
Target yangu kubwa ni either subaru au crown sababu nimezifanyia research kidogo tofauti na BMW. Mimi sio...
Jamani kwa aliyeshatoka kutumia hii huduma ya halotel fibre ipoje na ipo reliable?
Mm kwa sasa nakaa goba ila natumia hii router ya airtel 5g nalipia hii 30mbps kwa 110,000 na during peek hours yani haifai kabisa internet ni slow balaa yani mfano mm nafanyaga voice chat mara nyingi via discord...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.