Recent content by abraham makinda

  1. A

    JamiiForums Tanzania Mauaji ya Albino: Kushindwa kwa serikali?

    Ebwana wadau hivi ni kwanini hili sakata la mauaji ya albino linazidi kupamba moto na naomba wadau wanaojua kama kuna kesi ambazo zimeshakwenda mahakamani hadi sasa na kutolewa hukumu, zinafikia ngapi hadi hivi sasa? Tusaidiane kupiga vita suala hili kwa kuibua mbinu mbalimbali za kupambana na...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Ze Comedy aka Orijino Comedy: Mwendelezo

    Ebwana wakubwa hivi haya maneno ya ze comedy ni ya kweli au ndiyo jamaa wanajitafutia umaarufu kunuka? Eti wadau nyi mnalionaje hili? Ikiendelea hivi ze comedy wata eksizist kweli?
Back
Top Bottom