Recent content by ability123

  1. A

    JamiiForums Tanzania Wapi wanauza camping tents (mahema)

    Mimi nadizain na kushona aina zote za mahema nipo kkoo gerezani mtaa wa makamba, pia tupo kigamboni ferry. KARIBU SANA
  2. A

    JamiiForums Tanzania Wapi wanauza camping tents (mahema)

    Mimi ni fundi wa kidizaini na kushona hizo hema za aina mbalimbali kulingana na mahitaji yako 0765 815550, nipo dar kkoo gerzani karibu , pia tupo kigamboni ferry. TUTAKUHUDIA VILE UTAKAVYO .
  3. A

    JamiiForums Tanzania Kuna watanzania wako serious na kauli ya Rais ya viwanda

    Woiso kajitaidi ila mwambie bosi wako Apache kuchukua reject material toka China anatuumiza wajasiriamari wadogo tunaonunua marighafi kwake, kwasababu mengi yanakuwa hayana ubora, mfano, vitambaa begi za mgongoni. Ni shiida
  4. A

    JamiiForums Tanzania Wakati unafikiri kuanza biashara mpya pita hapa

    Ahsante sana
  5. A

    JamiiForums Tanzania Brands za biashara/products zilizofeli hapa Tanzania

    Sabuni ya komoa
  6. A

    JamiiForums Tanzania MC Pilipili apata ajali ya gari akiwa Shinyanga

    Dah pole mc pili pili kichaa Sent using Jamii Forums mobile app
  7. A

    JamiiForums Tanzania NATAFUTA WATENGENEZAJI WA VIFUNGASHIO VYA MIFUKO YA PLASTIC

    Ahsante kwa muongozo wako. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. A

    JamiiForums Tanzania NATAFUTA WATENGENEZAJI WA VIFUNGASHIO VYA MIFUKO YA PLASTIC

    Wanajamii kama kuna MTU anatengeneza vifungashio vya plastic mifuko ya plastic au kama kuna MTU anajua jinsi ya kutengeneza please naomba muongozo Sent using Jamii Forums mobile app
  9. A

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu kutoka kwa hedhi

    Labda anatumia njia za uzazi wa mpango. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. A

    JamiiForums Tanzania Maumivu ya mgongo muda wote

    msaada, nasumbuliwa na mgongo na sifanyi kazi ngumu.nafuu yake niekewe kitu kizito cha kilo zaidi ya 50 niwekewe mgongoni ndio najisikia nafuu au MTU anikanyage kwa miguu. Mwenye uzito wa kutosha sasa sijui tatizo ni nn. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom