Recent content by Abel Tito

  1. A

    Tuliochaguliwa UDOM tukutane hapa

    Tufahamishane kwa wale waliotangulia kwenye kozi hyo maan wengne hatuelew tunalipa nn mengne yap wanalipa selikal special programe udom?
  2. A

    Bima afya UDOM

    Wakubwa kiukwel sijaelew utaratibu ukoje kwa cc udom mwaka wa kwanza special programme bima nhif utapataje?
  3. A

    Mada maalumu: Mchakato Bodi ya Mikopo 2015/16 (Vigezo na ujazaji fomu)

    Habari ,me nmechaguliwa special programme udom ila naomba msaada wenu mambo gan muhimu yanahitajika kabla ya kuomba mkopo?
Back
Top Bottom