Recent content by abel p

  1. abel p

    Rais Magufuli, umewadhalilisha sana wanawake weusi nchini

    Wewe kauli ya mh rais ni sheria mkuuu
  2. abel p

    GE2020 Ila Tundu Lissu ana ujasiri. Unguja alimpigia kampeni Maalim Seif na Kigoma kampigia kampeni Zitto Kabwe

    Binafsi lisu nimwana siasa wa kipekee ametuonyesha kuwa yeye lengo lake nikuiondowa ccm madarakani nandio maana anathubutu kumsapot mpinzani yoyote yule ilimladi tu awe anakubalika eneo usika
  3. abel p

    GE2020 Aibu: CCM yafutika Bukoba, wanafunzi wapangwa barabarani muda wa masomo kumpokea

    Mkuu hii imekuwa kawaida ya ccm sasa wala sio upotoshaji tumeshuhudia kule mwanza shule zilifungwa siku mh alipokuwa kwenye uwanja wa ccm kilumba
  4. abel p

    GE2020 Ukweli umejulikana sasa

    Mh!! Hawa walikosea masharti ona sasa dude limefufuka kama zombi vile!
  5. abel p

    GE2020 Mgombea Urais wa CHADEMA azidi kupoteza kura toka kwa wananchi

    Downloadfanya hivi kura yako wewe na mkeo mpeni Magufuli sawasawa ila sisi tulio wengi tutampa tundu lissu
  6. abel p

    Asante Lissu amesababisha ajira za walimu kutangazwa, hotuba ya bajeti ya Waziri hapakuwa na hilo

    Mkuu ambaye amejaribu kutuma maombi naomba ajitokeze atupe ushuhuda hususani kutokea kwenye mikowa ya kanda ya ziwa
  7. abel p

    GE2020 Hali ni mbaya, sitisheni Kampeni mkajipange Upya

    Kwa leo ccm mwanza mmetia fola yaani shule zote za mkoa wa mwanza ndio zimewasaidia aibu ambayo mgekumbana nayo, ndio mjue lissu ana maupepo yake tu, kuijaza fulaisha niishara ya nyakati zenye matokeo ya kushangaza
  8. abel p

    Makongoro Nyerere na mfano wa Yanga kuiokoa Simba

    Wakuu salam leo nilikuwa nafuatilia kwa kalibu kampeini za Magufuli kule mkoani mara mara baada ya kupanda kaka wa taifa kama alivyoitwa na katibu makongoro alitiwa mifano mingi mizuri ila miwili tu mifano iliyo nivutia 1. Alisema huwezi kukumbatia jiko la makaa ya moto 2. Alitowa mfano wa...
  9. abel p

    GE2020 Ni nini kimeitokea CHADEMA? Tumefikaje huku kupost picha za 2015?

    Mkuu inavyo onyesha chadema kunashida maana hata jana mgombea ubunge jimbo la nyamagana john Pambalu alipositi picha ya 2015 mpaka mtu unajiuliza hivi huyu kweli anafikili kwa kutumia kichwa au hajielewi
  10. abel p

    GE2020 Yaliyojiri katika Kampeni za Tundu Lissu Jijini Mwanza

    Kwa kile nilichokiona leo mwanza nimeanza kuwa na mashaka Nahisi kuna nguvu ya ajabu aliyonayo huyu mhe lissu hatà kama ni mahaba kwa watu wa mwanza hii sasa imepitiliza mpaka nimehisi kuwa inawezekana wale wachawi 900 wamemkimbia mzeee hivyo upepo umegeukia upande wa lissu! Ikiwa upepo...
  11. abel p

    GE2020 CHADEMA hapa mmechemsha, badilisheni mikakati

    Mkuu hawa nyumbu wa lumumba wamezoea matamasha ya wasanii
  12. abel p

    GE2020 Uongozi wa CHADEMA ulikuwa sahihi "kuwatimua" TBC katika uzinduzi wa kampeni zake

    Mkuu mimi mwenyewe nilikuwa nafuatilia kupitia ile ledio ya taifa gafla mara wakaweka mziki mara waongee wao nahiyo ntimanyongo ilianza tu mara baada ya lema kupanda hapo ndipo mauza uza yalipo anza mh mbowe kapanda tayari walishaanza figisu zao tangu lema akiongea
  13. abel p

    GE2020 Uchambuzi wa hotuba ya Lissu - Kawe

    Wakati mwingine usikimbilie kuleta umbea hapa ilihali kichwa kimejaa kamasi, kwenye hiyo namba 4 usipotoshe watu lissu kasema atawalipa fidia watumishi kuanzia 2015 mpaka 2020 sasa hii abari ambayo unasema makampuni yaliyo taifishwa miaka ya nyuma nayewenyewe yatadai fidia umeitowa wapi?
  14. abel p

    GE2020 Tundu Lissu: Nitalipa malimbikizo ya wafanyakazi yote kuanzia 2015 - 2020

    Kwa haya madini hata mkipiga tena pushap Chato inawahusu mkalime
Back
Top Bottom