Recent content by Abel 2015

  1. A

    Rais mwenye maono ya kijamaa anaeongozwa na ilani ya kibepari

    Magufuli na ccm wanatumia itikadi gani ujamaa au ubepari??mimi naona kila MTU ana msimamo wake..naomba mwenye kujua tunapoenda anieleze......
  2. A

    Tusiwape UKAWA yasije yakawakuta kama zambia

    Mnajifanya kukwepesha mada na mada mmeielewa vizuri sana
  3. A

    Tusiwape UKAWA yasije yakawakuta kama zambia

    Jibu zuri sana comrade lizaboni
  4. A

    Tusiwape UKAWA yasije yakawakuta kama zambia

    Wakusimulie kuhusu nin?
  5. A

    Tusiwape UKAWA yasije yakawakuta kama zambia

    Hapo mwanzo nilidhani vyama vya upinzani ni zawadi kutoka kwa mungu na vipo kwa ajili ya kuleta mabadiliko hususani katika nchi za afrika, contrary na matarajio yangu kumbe na wao ni wale wale wanaotafuta madaraka na wakishayapata wanagoma kuondoka endapo wakishindwa. Tumeshuhudia chama cha rais...
  6. A

    Zambia Wamefaidika Nini Na Hiyo Demokrasia Yao?

    Hahaha Hili Kombora Limewaingia Ipasavyo, Naona Mnaruka Ruka Tu.. Hamjajibu Title Ya Thread.. Zambia Imefaidika Nini?? Naona Edga Lungu Anaelekea Kushindwa Na Chama Chake Kilikua Cha Upinzani.. Siasa Haina Nafas Tanzania Mpya Tunayoitaka
  7. A

    Zambia Wamefaidika Nini Na Hiyo Demokrasia Yao?

    Siasa Hazina Tija Kipindi Hiki.. Magufuli Yuko Sahihi, Kwa Afrika Hebu Mtoeni Mfano Nchi Gani Iliyo Na Demokrasia Ya Siasa Imeendelea, Hao Ukawa Ni Ma Euro Centric, Hawana Nafas Kwa Kujenga Tz Tunayoitaka
  8. A

    Zambia Wamefaidika Nini Na Hiyo Demokrasia Yao?

    Facts Pamoja Na Zambia Kua Na Hyo Demokrasia Ya Siasa Bado Ni Maskini. Magufuli Yuko Sahihi Kuzuia Siasa Tuanze Kwanza Na Demokrasia Ya Kujenga Uchumi. Nchi Za Tigers Countries, China, Rusia, Britain, France Zilianza Kwanza Na Demokrasia Ya Kujenga Uchumi Refer Britain Katika Industrial...
  9. A

    Rais Magufuli ni mjamaa anayetumia Neo-Marxist point of view

    Wewe Unataka Kulinganisha Marekani Ambao Waliendelea Kabla Ya Na Nchi Changa Kama Tanzania? Lol
  10. A

    Rais Magufuli ni mjamaa anayetumia Neo-Marxist point of view

    Neo- Marxist Ni Wafuasi Wa Theory Ya Karl Marx Ambao Wako Kwa Ajili Ya Maslahi Ya Tabaka La Chini.. Najua Kuna Wanaompinga Kwa Kukandamiza Demokrasia.. Mimi Naunga Mkono Hoja Kwamba Kuna Mambo Mengi Watu Wameyasahau Na Kulilia Hiyo Demokrasia Ya Siasa Kuna Mambo Kama.- Demokrasia Katika...
  11. A

    CHADEMA yaumbuka, kumbe operesheni UKUTA ni copy and paste kutoka USA!!!

    Kwanza Jina Lake Linatambulisha Kua Yeye Ni Mjinga Wa Kufikiri
  12. A

    Nimeamua kuachana na CHADEMA na kurudi CCM kumuunga mkono Magufuli

    Karibu Sana Chama Cha Mapinduzi Nenda Kwa Katibu Wa Tawi Akupatie Kadi Yako... Umechagua Chama Makini.
  13. A

    DC wa Kinondoni Ali Hapi ama unashiriki kwenye mkakati huu dhidi ya Magufuli au unawajua wahusika'

    Shikamoo Comred Lizaboni Kama Yeye Ni Mwanaume Aje Akane Na Hili.. Ameshtukiwa Huyo.
Back
Top Bottom