Recent content by Abeida

  1. A

    SoC03 Tukiwajibika kwenye Madini, TEHAMA nchi itasonga mbele

    asante kwa kusoma bandiko. Tunajenga nchi pamoja
  2. A

    SoC03 Tukiwajibika kwenye Madini, TEHAMA nchi itasonga mbele

    Tukiwajibika kwenye madini na Tehama, Tanzania itasonga mbele Abeid Othman Kwa mujibu wa kamusi kuu ya Kiswahili toleo la pili la mwaka 2017, neno uwajibikaji linatokana na kitendo wajibika, ambalo kamusi hiyo imelitafsiri kama tekeleza jambo linalokulazimu kulifanya. Ni vigumu mtu binafsi...
  3. A

    SoC02 Umuhimu wa kuzingatia na kutekeleza sera za maji ili kutatua tatizo la uhaba wa maji

    Bro hii ni piece bomba. I hope watunga sera na watawala wataichukua. Chukua kura yangu
  4. A

    SoC02 Haya yanaweza kuinua hali ya Kilimo chetu

    Abeid Abubakar Takwimu nyingi zinaonyesha kuwa Watanzania wengi wanajihusisha kwa namna moja au nyingine na kilimo. Kwa mfano, utafiti wa nguvu kazi ya taifa wa mwaka 2014 ambao bado unatumika kama rejea nchini, unataja bayana kuwa asilimia 66.3 ya Watanzania wameajiriwa au kujiajri katika...
  5. A

    SoC02 Vyakula hivi ni janga kwa watoto shuleni

    Asante. sana. Hata mimi kwa hakika background yangu sikusoma shule za kishua, nimekula sana hivyo vyakula na ule ulaji ndio unaonisukuma leo nikiwa ukubwani kuona kuwa japo nimekula sana bado havikuwa salama
  6. A

    SoC02 Vyakula hivi ni janga kwa watoto shuleni

    Abeid Abubakar Umewahi kutembelea shule yoyote ya msingi au sekondari iwe mjini au kijijini? Tuache shule zilizopo vijijini, tuzitupie jicho zile shule za mjini. Aghalabu hutokosa kukuta vibanda vya kila aina vimezunguka shule. Humo huuzwa kila aina ya vyakula. Hata hivyo, vilivyo maarufu...
  7. A

    SoC02 Mbinu hii inaweza kupunguza tatizo la ajira kwa Watanzania

    Abeid Abubakar Katuni ya Kipanya katika gazeti la Mwananchi Julai 21 mwaka huu ukurasa wa 10, inafikirisha. Ni tafakuri tunduizi. Katuni inamuonyesha kipanya mdogo akisema: Msitusahau kwenye utumishi wa umma. Kisha kipanya mkubwa akamjibu kwa swali: Wana eksipiriensi? akimaanisha wana uzoefu...
  8. A

    SoC02 Sote tuwajibike ulinzi wa miundombinu

    Abeid Abubakar Asubuhi moja mwaka huu namuona utingo wa lori lenye tela, akihangaika kuvuta kibao kilichowekwa barabarani kuashiria kuwa hapo kuna kituo cha abiria. Lengo lake ni kukipindisha ili dereva wake aweze kukata kona eneo hilo ambalo kwa hakika barabara yake ni ndogo kwa gari hilo...
  9. A

    SoC02 Hili la madarasa ya giza, tufanye kitu kunusuru watoto wetu

    Abeid Abubakar Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu katika habari iliyochapishwa na gazeti la Mwananchi la Julai 23, 2022 ukurasa wa 23, alinukuliwa akisema kuwa Watanzania wapo hatarini kupata upofu kwa kukosa huduma za macho, huku akiweka bayana kuwa ni watu milioni moja pekee wanaopata huduma hiyo...
  10. A

    SoC02 Wabunge hamtutendei haki Wananchi

    Mawazo yenu wanajamvi
  11. A

    SoC02 Wabunge hamtutendei haki Wananchi

    Abeid Abubakar Katiba yetu ya Tanzania ya mwaka 1977 inatambua uwepo wa wawakilishi wa wananchi maarufu kama wabunge na kule visiwani Zanzibar wakijulikana kama wawakilishi. Kwa mujibu wa Katiba hiyo ambayo ndiyo msingi mama wa sheria na mwenendo wa uongozi na uendeshaji wa nchi, sehemu ya tatu...
  12. A

    SoC02 Madarasa ya TEHAMA muhimu Shuleni

    wadau uzi huo leteni mawazo yenu. Nawashukuru
  13. A

    SoC02 Madarasa ya TEHAMA muhimu Shuleni

    Abeid Abubakar Namuuliza mtoto wangu anayesoma darasa la sita katika shule binafsi moja ya mchepuo wa Kiingereza kama wanafundishwa kompyuta. Jibu lake la hapana linaninyong’onyesha. Pengine ningeliamini kama angekuwa anasoma shule katika moja ya shule za umma, ambazo weng tunajua hali zake...
Back
Top Bottom