Recent content by Abeid fredrick

  1. A

    JamiiForums Tanzania Wenye picha za Mji wa Chato wekeni hapa

    Umekosea kidogo CHATO haijawa Mji ni kijiji/ kata/wilaya na sasa pengine mkoa wenye mwendokasi wa maendeleo!!!!!!!
  2. A

    JamiiForums Tanzania Mfuko wa pensheni wa jamii

    Naomba kusaidiwa Mfuko huo unasaidiaje wazee wenye mazingira magumu? Au anayejua chanzo sahihi cha hizi habari anijulishe, naomba usaidizi wenu wanajamii asanten.
  3. A

    JamiiForums Tanzania Ukerewe hii siku ya pili hamna umeme. Hii ndio Tanzania mpya ya viwanda

    We unachotakiwa kufanya ili uwe kati ya wale waonekanao wasikivu ni KUPONGEZA TU MKUU, poleni umeme utarudi siku yoyote.nafikiri TANESCO wanashughulikia.
Back
Top Bottom