Recent content by Abdusmigo

  1. Abdusmigo

    Nimefaulu Kidato cha Nne kwa Division Two ya 19. Nifanye nini ili nifikie ndoto yangu?

    Hyo kozi kuna mtu alinambia ila bado sijajua kuhusu ada
  2. Abdusmigo

    Nimefaulu Kidato cha Nne kwa Division Two ya 19. Nifanye nini ili nifikie ndoto yangu?

    Sina ufahamu mkubwa kwenye hili ila kuna mtu aliwahi nambia kuna miaka serikali waliwachagua wanafunzi na kuwarudisha katika mfumo wa shule (school candidate) na kuwapangia vyuo vya kati pamoja na A level
  3. Abdusmigo

    Nimefaulu Kidato cha Nne kwa Division Two ya 19. Nifanye nini ili nifikie ndoto yangu?

    Kiufupi namba ya mtihani ndio muhimu kwahyo mm nilikuwa sina hyo kwakuwa huku nilifutiwa usajili wangu kama mwanafunz wa shule na kuhusu kufanya mtihani kwenye kituo unahitaji sifa mbili tu pekee 1.uwe umewahi kufanya mtihani wa kidato cha nne kwahyo unataka kurudia (resister) 2.Uwe umefanya...
  4. Abdusmigo

    Nimefaulu Kidato cha Nne kwa Division Two ya 19. Nifanye nini ili nifikie ndoto yangu?

    Mathematics nmescore D na kuhusu Private candidate huwa sisi hatujazi zile form za kuchagua shule au vyuo
  5. Abdusmigo

    Nimefaulu Kidato cha Nne kwa Division Two ya 19. Nifanye nini ili nifikie ndoto yangu?

    Kwa majina naitwa Abdul Komando Mtimbe (19) ninaishi Dar es salaam Tanzania.Nimezaliwa tarehe 07.12.2004 Nimepata elimu yangu ya msingi katika shule ya msingi Mchangani wilaya ya Kinondoni jijini DAR ES SALAAM ambapo nilianza mwaka 2010 na kumaliza 2016 na nilifanikiwa kujiunga na elimu ya...
Back
Top Bottom