Na la ziada ni kuwa utaratibu wa kiongozi kuzungumza na wananchi moja kwa moja ulianzishwa na JAKAYA KIKWETE. Ipo mifano mingi maeneo mbalimbali. Halipingiki hilo. Kikwete amehudhuria misiba ya raia wake ilhali ni Rais kuliko hilo babu lenu ambalo lilikuwa likitumia muda wake kutafuta urais...
Wameingiwa hofu kwa namna CCM ilivyojiandaa kuchukua tena nchi. Walipoona CCM Imekaa kimya walidhani tumeishiwa. Kumbe walisahau kuwa kimya kingi kina mshindo mkuu.
Jibu hoja. Mimi ndo maana nasema kuwa nyinyi vijana wa ukawa mumechanganyikiwa kama yule babu yenu
Hamujielewi kabisa. Ndo maana mzee mkapa akawapa jina lenu jana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.