Recent content by Abdulrahmanyusuph03

  1. Abdulrahmanyusuph03

    JWTZ ni kwamba mnafanya maigizo ama?

    vuta pumzi alafu andika vitu vinavyoeleweka
  2. Abdulrahmanyusuph03

    Mjue Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kwa undani

    Baba wa taifa la Tanzania Mwl. Julius Kambarage Nyerere mzaliwa Kijijini butiama. Alizaliwa tarehe April,1922 na alikua ni mtoto wa chifu Nyerere Burito Alipewa Jina la Kambarage kumaanisha “roho inayotoa mvua” kwakuwa alizaliwa siku ambayo mvua ilikua inanyesha. Shujaa huyu wakizanaki...
  3. Abdulrahmanyusuph03

    Msaada wa utamaduni mmoja tu wadini ya Kikristo wenye asili ya Kiafrika

    Hii kali sasa umesikia au kuona wapi ? Au kusoma wapi ? #Jitathminikijana Unachosema ndicho kina akisi ubovu wa fikra żako
  4. Abdulrahmanyusuph03

    Msaada wa utamaduni mmoja tu wadini ya Kikristo wenye asili ya Kiafrika

    Kwani nimesema ni kosa kuoa msichana aliyepevuka ? Au ni kosa kwa msichana aliyepevuka kuolewa ? Kila kitu kinasababu ya Kwanini kinatokea kwa waarabu wa zama zile hili jambo lilikuwa la kawaida na ilikuwa inasisitizwa msichana anapopevuka aolewe Na huwezi fananisha zama zile na hizi Hili...
  5. Abdulrahmanyusuph03

    Msaada wa utamaduni mmoja tu wadini ya Kikristo wenye asili ya Kiafrika

    Duh! Kwahio anayekula wali nani na anayekula ugali nani ? Na huoni wali unautofati na ugali ? Na hata carbohydrates zinatofauti au hujui ? #Jitathmini
  6. Abdulrahmanyusuph03

    Msaada wa utamaduni mmoja tu wadini ya Kikristo wenye asili ya Kiafrika

    Sawa Kama ni suggestion na mimi pia ni scholar Nasema alikuwa mdogo zaidi ya aisha ra Suggestion yangu unaikubali ? Maana ni suggestion tu Ila alikuwa ni mdogo
  7. Abdulrahmanyusuph03

    Msaada wa utamaduni mmoja tu wadini ya Kikristo wenye asili ya Kiafrika

    Kwahio Kumbe una Amini mitume inakosea na huwa wanamatamanio Kama sisi wanadamu wengine Na mtume Muhammad (saw ) alimuoa aisha akiwa na miaka sita na kujamiiana nae akiwa na miaka Tisa kwakuwa alikuwa ndio kashapevuka na Alfaa kuingilia mama huyu Hakuoa na kumuingilia apo apo na watu...
  8. Abdulrahmanyusuph03

    Msaada wa utamaduni mmoja tu wadini ya Kikristo wenye asili ya Kiafrika

    😂aya ninmajadiliano ya hoja ushapanic Mbona kwenye bibilia inaelezwa kwamba Yakobo alimuona Raheli, ambaye alionekana kuwa mdogo kwa umri wakati wa ndoa yao. Daudi pia alimuoa Abigail, ambaye alikuwa mke wa Nabal, alifanywa kuwa mke wa Daudi baada ya kifo cha Nabal Kuna Sulemani alioa...
Back
Top Bottom