Recent content by Abdulaziz64

  1. A

    JamiiForums Tanzania Simba ‘lose’ Ngassa

    Kama tff ilijua simba walifanya makosa kuingia mkataba na ngasa kwa nini waliusajili mkataba na kuupokea, inaoneka hata tff hawajui sheria, sasa ni wakati wa wachezaji matepeli wachukuliwe hatua za kisheria, simba peleka ngasa kwenye vyombo vya sheria
Back
Top Bottom