Recent content by Abdulaziz Ally

  1. Abdulaziz Ally

    JamiiForums Tanzania Nasumbuliwa na tatzo la maumivu katika bega

    HABARI Natumaini mpo salama kabisa hii post KWAAJILI ya watu wenye elimu zaidi ju la hili tatizo linalo nisumbua ivyo ningeomba mnipe ushauri kwa  AMANI kwa muda mrefu sasa nasumbuliwa na tatzo la maumivu katika bega langu la KUSHOTO ila alijavimba liko kawaida tu. Maumivu yake ni makali mno...
  2. Abdulaziz Ally

    JamiiForums Tanzania Maumivu wakati wa kufika kileleni kwa Mwanaume

    Habari Poleni na majukumu, Naitwa Azizi umri miaka 22 jamani binafsi nasumbuliwa na maumivu wakati wakumwaga maniii yaani ninapotaka kupata utamu ndo napata maumivu makali. Ndugu zangu Madaktari wenye kulitambua ili tatizo naombeni msaada wenu, au kama kuna mtu aliwahi sumbuliwa na hili...
  3. Abdulaziz Ally

    JamiiForums Tanzania Natafuta mme

    Sioni kama ni busara mtu kutafuta mume mtandaoni Wenda ukawa ujatulia
Back
Top Bottom