mkuu kujua ni jambo muhimu sana ili kuangalia na kufanya analysis ajira sio msaada unaprovide input na mshahara ni output kwang mimi vitu muhimu kwangu ni mshahara plus je hiyo sehemu itaikuza career yangu kama unajua itakuwa vyema ukinisaidia
Habari wakuu natumai ni wazima wajuzi wa mambo naomba msaada nilifanya interview ya oral ajira portal software developer Ega nasubiri majibu but nimekuwa shortlisted kwenye interview nyingine TPSC Je ni ishara kuwa interview ya Ega sikujafanikiwa kufanya vizuri maana interview ilikuwa imechangamka
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.