Recent content by Abdul slise

  1. A

    JamiiForums Tanzania Nifanyaje nirudishe account yangu ya Whatsapp?

    Habari zenu, Naombeni mnisaidie kutatua hili tatizo la whatsap yangu kila nikijiunga wanasema wameiblock nikajaribu kuingia ukurasa wao wa msaada wakanitumia ujumbe kwamba account yangu imeripotiwa. Msaada jaman hapa nifanyaje nirudishe account yangu?
  2. A

    JamiiForums Tanzania Sijisikii vizuri lakini nimepima sina UKIMWI

    Ni shapima zaid ya mara tatu Kuna wengine wanasema labda huyo mwanamke ana damu chafu
  3. A

    JamiiForums Tanzania Sijisikii vizuri lakini nimepima sina UKIMWI

    Naombeni ushauri Maana toka nimefanya mapenzi na huyo mwanamke nimekua nikiugua ugua tu nishaenda kupima nikakutwa Niko vizuri sijajua shida ninini?
Back
Top Bottom