Recent content by Abdul Said Naumanga

  1. Abdul Said Naumanga

    JamiiForums Tanzania Mawakili zaidi ya 390 wa Tanzania Bara Hatarini Kupoteza Uwakili wao

    Sema ndugu we mbishi😂😂
  2. Abdul Said Naumanga

    JamiiForums Tanzania Mawakili zaidi ya 390 wa Tanzania Bara Hatarini Kupoteza Uwakili wao

    Kuna uzoefu wa siku 1, wiki 1, mwezi 1, mwaka 1, miaka 2-5, 5-10, 10+ Hapo kila mtu anauzoefu, inategemea tu ni wa muda gani. Sasa wewe unajua hao waliopewa walikuwa na uzoefu wa muda gani?? Kama haujui basi ndicho anachokisema Dennis Robert Shughuru, nanukuu “acha kutetea ujinga”
  3. Abdul Said Naumanga

    JamiiForums Tanzania Mawakili zaidi ya 390 wa Tanzania Bara Hatarini Kupoteza Uwakili wao

    Unachekesha sanaa😂😂, unafaa kuwa comedian
  4. Abdul Said Naumanga

    JamiiForums Tanzania Mawakili zaidi ya 390 wa Tanzania Bara Hatarini Kupoteza Uwakili wao

    Ni yeye ndio hafatilii mambo, case zipo nyingi sana za kupinga sheria mbalimbali.
  5. Abdul Said Naumanga

    JamiiForums Tanzania App Mpya ya JamiiForums - Agosti 2026

    Na mwisho kabisa, hapo hapo kwenye notification brother Maxence Melo, ukiingia kwenye notification hata ukishaisoma io notification bado inabaki kama unread, kwaio mtu unajikuta una notification nyingi ambazo umeshaziona na kuzisoma mpka ubonyeze read all ndio zinaondoka.
  6. Abdul Said Naumanga

    JamiiForums Tanzania App Mpya ya JamiiForums - Agosti 2026

    Yes, kwenye app ya zamani ipo, ila kwenye app mpya hakuna. Na hii comment yako imenifanya nijie tatizo jingine Maxence Melo, pia notification ikiingia na ukienda kuangalia sehemu ya notification unaiona lakini hakuna sehemu ya direct reply, kuna sehemu ya kuview thread only, of which ukiclick...
  7. Abdul Said Naumanga

    JamiiForums Tanzania App Mpya ya JamiiForums - Agosti 2026

    Kwanza nianze kwa pongezi, hii app ya sasa 🔥🔥🔥, pili nije kwenye changamoto sasa. Hii yakwanza naona umeitolea ufafanuzi. Lakini changamoto yangu ni kuhusu verification, kuna watu ambao walikuwa verified ikiwemo mimi kabla ya update, but the moment nime update tu naona verification imepotea...
  8. Abdul Said Naumanga

    JamiiForums Tanzania Mawakili zaidi ya 390 wa Tanzania Bara Hatarini Kupoteza Uwakili wao

    Nafasi za kuamua haki, na kusimamia misingi ya sheria.
  9. Abdul Said Naumanga

    JamiiForums Tanzania Mawakili zaidi ya 390 wa Tanzania Bara Hatarini Kupoteza Uwakili wao

    Exactly, na iwekwe wazi kila mtu aijui ili kila mtu awe na uhuru wa kuchagua njia, kama ni exception au ordinary way
  10. Abdul Said Naumanga

    JamiiForums Tanzania Mawakili zaidi ya 390 wa Tanzania Bara Hatarini Kupoteza Uwakili wao

    Labda hukunielewa, sikusema hupaswi kuchangia mada sababu hujasoma sheria, you get me wrong. Nilisema kama hata hufahamu kitu kidogo na chepesi kama hicho basi usingestahili kuchangia mada, hasa kwa namna ulivyokuwa unachangia, na huo ndio ukweli. Lakini kama umeridhika na majibu uliyopewa...
  11. Abdul Said Naumanga

    JamiiForums Tanzania Mawakili zaidi ya 390 wa Tanzania Bara Hatarini Kupoteza Uwakili wao

    Umeridhika na majibu??
  12. Abdul Said Naumanga

    JamiiForums Tanzania Mawakili zaidi ya 390 wa Tanzania Bara Hatarini Kupoteza Uwakili wao

    “Sio suala la kunufaika, bali kulinda hadhi ya uwakili” Nadhani hicho ndicho kila mtu anatakiwa aelewe, hili sio suala la maslahi binafsi bali ni suala la maslah ya umma
  13. Abdul Said Naumanga

    JamiiForums Tanzania Mawakili zaidi ya 390 wa Tanzania Bara Hatarini Kupoteza Uwakili wao

    Hoja yako ni tofauti kidogo na kile kinachoendelea kwenye tasnia ya sheria na utoaji haki
Back
Top Bottom