Jamani hawa Wamarekani ni watu wa namna gani? Mbona hawana huruma na biaadamu wenzao? hivi wanaweza kuwa na Uchungu na Walibya kuliko Muamar Gadaf!
Ni wakati muafaka kwa Wafrika kuwa na Siasa za kupendana kwa kuwa kitu kimoja na kuacha binafsi unofanya Raia wanateseka.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.