Habari, nimekaa nimewaza nipo Tanzania lakn naishi kama mkimbizi kula yangu km mpira wa danadana Kuna muda uanguke Kuna muda uturie mguuni,
Imefika hatua wazazi nilienda likizo mara Moja nimewaambia natak nirudi. Wakaniambia hawanikataz ila nakuwa nimerudi hatua Moja nyuma kimaisha umri...
Mimi moja ya vijana wenye ndoto na Ulaya binafsi yangu sina connection yoyote ya kwenda huko ila nakumbuka zamani nikiwa shule ya msingi nilikuwa na ndoto za kupata mwanamke wa KIZUNGU Ili iwe rahisi mm kufika huko, mpaka sasa kiukwel sijui hata huyo mzungu nampatia wapi.
Nimewasilisha hili Ili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.