Recent content by Abdallahkova

  1. Abdallahkova

    JamiiForums Tanzania Ukimuacha Tundu Lissu, hivi kuna Mtanzania mwingine ameshawahi kuhudhuria kipindi cha HardTalk?

    Kuandika kwa herufi kubwa nikupayuka.
  2. Abdallahkova

    JamiiForums Tanzania Hivi Bongo kuna celebrities wanaostahili kufuatiliwa kweli?

    Mkuu ml 2 au 3 tafuta laki 5 kisha njoo chemba tuongee.
  3. Abdallahkova

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mbeya: Joseph Mbilinyi(Sugu) akamatwa na Polisi wakati akichukua fomu ya Uteuzi

    Ameshatoka mkuu maform zake zipo salama .
  4. Abdallahkova

    JamiiForums Tanzania GE2020 Lema: Msafara wa mgombea Urais, Tundu Lissu washambuliwa vibaya katika Ofisi ya CHADEMA Wilayani Hai, Kilimanjaro

    Kumbe hata musiba anawafuasi wake.watu kama nyie dizaini ya musiba sijui nikazazi ya dunia ipi?maana hamfanani nabinadam wakawaida.
  5. Abdallahkova

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mbeya: Joseph Mbilinyi(Sugu) akamatwa na Polisi wakati akichukua fomu ya Uteuzi

    Nakodi wanalipa ccm pekeyao. Barabara zinazojenga wana changishana kwenye vikao vya ccm . Hii ndo inawapa kiburi muone hili taifa nimali ya ccm .mpaka vikao vya ccm mnafanyia ikulu.
  6. Abdallahkova

    JamiiForums Tanzania Katambi: Lissu ni mwehu namjua vizuri atauza nchi asubuhi kweupe, kama anabisha ajitokeze hadharani

    Ndo aliambiwa atafte mke aozeshwe, tena akauza ukuu wawilaya kwa kura 3 .
  7. Abdallahkova

    JamiiForums Tanzania GE2020 Viongozi wa Dini kukutana Jumatatu kuelezea mafanikio ya Serikali ya awamu ya tano

    Fana khudhubilahi min dhaalika .
  8. Abdallahkova

    JamiiForums Tanzania Katambi: Lissu ni mwehu namjua vizuri atauza nchi asubuhi kweupe, kama anabisha ajitokeze hadharani

    Hivi huyu mzee mna monaje?kakupa kazi ya ukuu wawilaya ukauza kwakura 3 .Leo hii umeanza tena kuomba kazi. Yeye mwenyewe yuko busy anapambana nauchaguzi. Nenda kampigie magoti dialo akupe kibarua.
  9. Abdallahkova

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mtu ambaye Wanadamu hawakutaka aishi, lakini leo hii Mtu huyu anakwenda kuwa Mgombea wa Urais. Jambo hili lina maana gani?

    Wengine wanakabidhi ofsn wengine wako kaburini. Mungu ni waajabu sana.
  10. Abdallahkova

    JamiiForums Tanzania Kaimu Mkurugenzi Wilaya ya Rufiji aliyemdanganya Rais atupwa Lupango

    Umesema zima .tena unasema linataka services na kubadili matairi. Na ww nidereva wahilo gari??kama ww nitumishi ww idara nyingine huoni huo ni unafiki umeandaika??
  11. Abdallahkova

    JamiiForums Tanzania Uwanja wa Ndege Dar: Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu - Julai 27, 2020

    Mkuu mwambie yeye aende kuangalia maiti.
  12. Abdallahkova

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hasna Mwilima hafai kupeperusha Bendera ya CCM Kigoma Kusini

    Kwani hiyo miaka mitano nyie mlimpigia kura??nyie mlimchagua kafulila yeye akafanya makeke yake akatangazwa. Sasa mlitaka awanyenyekee wakati hamkupigia kura.
Back
Top Bottom