Mkubwa mi nnasoma kuliko unavofkiria. Ila mtu lazima use una future co unasoma tu bila ya kuelewa unataka kua nani. Mi nmeona rafiki zangu wengi wanahangaika hawajui wanataka nni chuo. Nmeona nijue mapema ili nijipange sawa
Mimi no kijana was form 6 PCB natarajia kufanya mtihani was taifa may2017. Nikikaa shule na wenzangu hua tunajadiliana maswala ya kozi
Wengi was rafiki zangu wanapendelea md Mimi npo tofauti nao.Nmechunguza kuna kozi inaitwa Diagnostic Radiograph.Nmeangalia vyuo vya tz hamna ila muhas wana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.