Recent content by Abdallah Almughayr

  1. A

    JamiiForums Tanzania Tahadhari na kinywaji cha Al-Kasusu

    Kahawa pamoja na viungo vingine huwa vinachanganywa pamoja na kusagwa kabisa kiwandani (mfano wa kusaga viungo vya pilau). Mtu anayepika kinywaji huwa ananunua Ule unga/masala ambayo yameshachanganywa na kusagwa kabisa so anaweza hata asijue kwa uhakika kilichomo ndani ... Kwahiyo inawezekana...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Tahadhari na kinywaji cha Al-Kasusu

    Ni kweli kwamba kila kitu kina side effects zake , iwe kitu hicho ni natural au artificial. Inategemea but mara nyingi NATURAL side effects zake si kama ARTIFICIAL unless mtu atafanya excess or too much use.. ANKASUS is pure natural 100% (coffee+spices+herbs)
  3. A

    JamiiForums Tanzania Tahadhari na kinywaji cha Al-Kasusu

    kwanza naomba nikurekebishe... Hii ya Tanzania inaitwa ANKASUS na sio AL-KASUS kama walivyozoea wengi kuiita... Na ile ya Arabuni Pia haiitwi ALKASUS bali inaitwa ARQASUS.. ANKASUS(tz) na ARQASUS(arab) ni vitu viwili tofauti.. Binafsi sijawahi kunywa ARQASUS lakini naifaham kijuujuu tu kupitia...
Back
Top Bottom