Recent content by ABC ZA 2025

  1. ABC ZA 2025

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Mbunge acharuka, ahoji uwajibikaji wa halmashauri kwenye miradi ya PPPs

    Hoja ya mbunge ni ya msingi na inastahili kujadiliwa kwa kina, lakini pia ni muhimu kutambua kwamba changamoto si halmashauri peke yake bali mfumo mzima wa maandalizi na usimamizi wa miradi ya PPPs nchini. Kwanza, miradi ya PPPs imeanzishwa ili kuziba pengo la fedha za umma kwa kuvutia mitaji...
  2. ABC ZA 2025

    JamiiForums Tanzania David Kafulila: Uwekezaji bandari ya Dar es salaam umeongeza idadi ya mizigo maradufu

    Kabisa jamaq ni msaada sana
  3. ABC ZA 2025

    JamiiForums Tanzania David Kafulila: Uwekezaji bandari ya Dar es salaam umeongeza idadi ya mizigo maradufu

    Jamaa anaitetea serikali kwa data safi sana
  4. ABC ZA 2025

    JamiiForums Tanzania David Kafulila: Uwekezaji bandari ya Dar es salaam umeongeza idadi ya mizigo maradufu

    Nadhani Bwana Heche amsilize sasa huyu mtaalum wa Uchumi kuhusu bandari
  5. ABC ZA 2025

    JamiiForums Tanzania David Kafulila: Uwekezaji bandari ya Dar es salaam umeongeza idadi ya mizigo maradufu

    PPP IMEONGEZA WINGI WA MIZIGO BANDARI YA DAR ES SALAAM MARADUFU-KAFULILA. Mkurugenzi wa Kituo cha Ubia nchini Tanzania (PPPC), Bwana David Kafulila, akizungumza katika Chuo Kikuu cha Mzumbe mjini Morogoro, alieleza kuwa sekta binafsi huleta ufanisi mkubwa katika uendeshaji wa mambo. Kafulila...
  6. ABC ZA 2025

    JamiiForums Tanzania MZUMBE UNIVERSITY: DAVID KAFULILA AKITOA PUBLIC LECTURE

    Kaziiendelee
  7. ABC ZA 2025

    JamiiForums Tanzania MZUMBE UNIVERSITY: DAVID KAFULILA AKITOA PUBLIC LECTURE

    Tunafuatilia
  8. ABC ZA 2025

    JamiiForums Tanzania MZUMBE UNIVERSITY: DAVID KAFULILA AKITOA PUBLIC LECTURE

    Hujaeleweka mkuu
Back
Top Bottom