Recent content by AbbyJn

  1. AbbyJn

    Makonda: Atakayenunua makontena yangu atalaaniwa yeye na kizazi chake! Atoa onyo kwa atakayethubutu kununua

    Kwa hili Dr.Mpango na Wasaidizi wake wapo Sahihi,alafu mbona zile Samani Ukizichungulia kwenye lile kontena ni kama za Saint ..., Shule ya msingi Gongolamboto 'B' au Shule ya Msingi N'zasa pale Mbagara hata siku tatu hazikai, kiti cha laki 6 mjini, labda Bunge Primary School au Muhimbili P/School
  2. AbbyJn

    Sheria mpya ya Bodi ya Walimu yaja. Itakuwa lazima wasajiliwe, ukifungwa miezi 6 unafutiwa usajili

    Yeeh nilikuwa nafikiria kurudi kwenye taaluma yangu ya Ualimu, kwa hili taaluma imeshatekwa na Wanasiasa mii SIMOOOO na Mchanga wa Pwani huo !!!!!
  3. AbbyJn

    Tetesi: Diwani wa Chadema ahamia CCM

    Kaazi kweli kweli !!!!
Back
Top Bottom