Recent content by ABBYA

  1. ABBYA

    Simulizi ya kijasusi - Nilimdhania kahaba kumbe bikra

    Nimekutumia no
  2. ABBYA

    Simulizi ya kijasusi - Nilimdhania kahaba kumbe bikra

    Kuna no yake ipo humu aliitoa ngoja nikutumie uwasiliane nae
  3. ABBYA

    Simulizi ya kijasusi - Nilimdhania kahaba kumbe bikra

    Sorry mkuu ni 330
  4. ABBYA

    Simulizi ya kijasusi - Nilimdhania kahaba kumbe bikra

    Mkuu lipia tuu kule yupo 334
  5. ABBYA

    Ugonjwa wa kisukari

    Shukrani sana mkuu nimefarijika kuona hii, ndio hapo tulimpeleka ameandikiwa sindano 20 asubuhi na jioni!
  6. ABBYA

    Ugonjwa wa kisukari

    Asante anasafisha mkuu kila asubuhi!
  7. ABBYA

    Ugonjwa wa kisukari

    Sawa mkuu!
  8. ABBYA

    Ugonjwa wa kisukari

    Shukrani!
  9. ABBYA

    Ugonjwa wa kisukari

    Habari wana jf, nina mjomba ambaye Ana tatizo la kisukari, kwa sasa Ana kidonda ktka mguu ambacho kilitokana na kuchomwa sindano. Naomba kujua kama kuna mtu ambaye amewahi kupitia changamoto hii, na alikabiliana nayo vipi kupata tiba ya kidonda na mtu anayefahamu dawa ya asili please anisaidie!
  10. ABBYA

    Mke wa Kaka: Hujapata mwanamke wa kuwa naye?

    Mie navona baba o sio kaka yako bali kuna namna mnayo, mama o karudi home kwake kapata game ya uhakika, kaja kwako anatoa visingizio mama o amemnyima ili uendelee kuamini bado una umuhimu kwa baba o!
  11. ABBYA

    Msaada wa dawa ya asili ya kutibu mapafu

    Hakuna jibu la kueleweka mpaka sasa
  12. ABBYA

    Msaada wa dawa ya asili ya kutibu mapafu

    Alipata TB kama miaka 3 iliyopita, akatibiwa akapona, badae akaenda kucheck wakasema kuna chembe chembe za mchanga kwenye mapafu, miezi miwili sasa ndio akaanza kuumwa wiki iliyopita aka wa anashindwa kuvuta hewa vizuri anakohoa sana, baada ya mpira kikohozi kimekata
  13. ABBYA

    Msaada wa dawa ya asili ya kutibu mapafu

    NB, hata kama dawa siyo ya asili unaweza kutushauri!
  14. ABBYA

    Msaada wa dawa ya asili ya kutibu mapafu

    Habari za jioni wakuu, kama kichwa kinavyosema hapo juu, nina ndugu yangu Ana shida kwenye mapafu, uwezo wake wa kuvuta hewa ni mdogo naomba msaada kwa yeyote mwenye kujua, kwa sasa anatumia mpira! Asanteni
Back
Top Bottom