Recent content by Abby92

  1. Abby92

    Nina mtaji wa milioni 20 nataka kufanya biashara ya duka la jumla la vyakula

    Sawa mkuu, Je unaweza ukanishauri biashara gani ninaweza kuifanya kwa iyoo elaa?
  2. Abby92

    Nina mtaji wa milioni 20 nataka kufanya biashara ya duka la jumla la vyakula

    MC RAS PAROKO, Fuqin, Ahsante sana mkuu, nimewapata vizuri.
  3. Abby92

    Nina mtaji wa milioni 20 nataka kufanya biashara ya duka la jumla la vyakula

    Wakuu habari zenu, najua wengi humu ndani mnayo mawazo mazuri na wengine mnazo hadi experience (Uzoefu) wa baadhi ya mambo hasa katika biashara. Mimi ni mbobezi wa masuala ya Online (Mtandaoni) sasa nina kafungu cha mtaji wa milioni 20 nikawaza niwekeze kwenye biashara nje na field yangu ya...
  4. Abby92

    Nifanye nini ili niweze kuingiza laki mbili kwa wiki nje ya mshahara?

    Mkuu kwenye Apps (Application) watu wanapiga elaa sana sikuizi, ningekushauri uangalie upande huo, watu wanapiga zaidi ya dollar 1000 kwa mwezi. Kama ukihitaji kujua zaidi kuhusu application nitafute hapa kiongozi 0692941440
Back
Top Bottom