Recent content by abby20

  1. A

    JamiiForums Tanzania Huyu ndiye askofu Gwajima ninayemfahamu, Wakristo jihadharini naye

    Kama anatafuta washarika hatawapata kwa kueneza uongo, mwaga sera watu wakuelewe sio unawayawaya kwa maneno yenye udhaifu, acha watu wapime wenyewe na Mungu anayemuhubiri Gwajima atapitisha chujio kuondoa magugu na ngano
  2. A

    JamiiForums Tanzania Huyu ndiye askofu Gwajima ninayemfahamu, Wakristo jihadharini naye

    Mtoa mada naona upo ki uaribifu zaidi, wewe si mshirika wake bali ni mbwa mwitu uliyevaa ngozi ya kondoo
  3. A

    JamiiForums Tanzania Huyu ndiye askofu Gwajima ninayemfahamu, Wakristo jihadharini naye

    Tafuta jingine hili halina mashiko mtoa mada
  4. A

    JamiiForums Tanzania Kumbe ishu haikua Pengo bali ni Lowassa kuzindua Helikopta ya Gwajima!

    upo Tanzania kweli maana Gwajima siku hizi anasikika kuliko Presida wa TZ Sasa iweje "yupo kama hayupo"Elungata
  5. A

    JamiiForums Tanzania Kumbe ishu haikua Pengo bali ni Lowassa kuzindua Helikopta ya Gwajima!

    Hapo labda unataka data gani mtu wangu?
  6. A

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya Askofu Gwajima imezungukwa na Polisi sasa hivi

    Akili yako ndo imeishia hapo katika kufikiri na wewe
  7. A

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya Askofu Gwajima imezungukwa na Polisi sasa hivi

    kuna nini nyuma ya pazia serikali kuweni wawazi maana mbona nguvu ni kubwa kuliko inayotumika kwenye mambo mengine, mbona Askofu Gwajima anawanyima usingizi kuna nini hebu fungukeni tujue kiendeleacho ni issue ya Pengo tu au kuna jingine
  8. A

    JamiiForums Tanzania Gwajima: Sina ugomvi na Jeshi la Polisi wala Serikali

    Kamuulize baba yako
Back
Top Bottom