Recent content by Abby12

  1. A

    Naomba ufafanuzi kuhusu Distance University

    Na hilo pia sio jibu sio kila mwenye kuuliza hajui kiengereza muda mwengine kuuliza kunazaa matunda na faida kwa watu wengine ambao hawana ufahamu kuhusu kitu fulani. Beside ya hicho kiengereza unaweza kusoma kiswahili ambacho ndo lugha yako na baadhi ya sehemu ukataka ufahamu zaidi kutoka kwa...
  2. A

    Naomba ufafanuzi kuhusu Distance University

    Habari Wadau Kwa wale wenye uelewa au ambao washawahi kusoma distance learning nahitaji kupata maelezo kidogo kuhusu hichi chuo cha University of People cha America na pengine yupo ambae ashawahi kusoma na labda kutambulika kwake kwa Tanzania na TCU ,Naamini tutafaidika sote kwa mawazo yenu...
  3. A

    Al-Barzakh: Haya ndio Maisha ya Kaburini baada ya kufa

    Ushirikina haumsumbui mtu ambae anaamini kwamba kuna mungu mmoja bali ni kwa yule anayemfanya huyo mungu ana waungu wengine au kuwafanya viumbe wa Allah kuwa ni waungu..ni suala la mda tu cku ukija kuona yakini kwenye jicho lako utakuja uyakumbuke haya kwamba ilikua mtu aloakikuambia alikufa...
  4. A

    Al-Barzakh: Haya ndio Maisha ya Kaburini baada ya kufa

    Hawa lazima uwanyooshe hvo hvo wanavyotaka Akhy ukiwaacha hivi hivi wanazidi kuwatia wengine imani mbovu😁😁😁
  5. A

    Al-Barzakh: Haya ndio Maisha ya Kaburini baada ya kufa

    Ndo unavyojidanganya hivo kama quran ina miaka 1500 na ukaidanganya nafsi yako pia..Hiyo quran inayoizungumzia ni maneno ya Allah na na nimuongozo ambao ameupangalia billions of years kabla ata wewe mwanadamu hujafikiriwa kuumbwa sio hio miaka 1500 unayosema ..hyo miaka elfu na miatano unayosema...
  6. A

    Al-Barzakh: Haya ndio Maisha ya Kaburini baada ya kufa

    Mimi nimeongelea vitabu vingaoi vilivyokuwepo au wapi nimesema mitume wote wameshushiwa vitabu. Nimekufahamisha na kukuambia kuwa mitume ni wengi waliokuja kutokana na mafundisho ya sunna za mtume..Tuliofahamishwa katika quran ni 25 na si zaidi. Na hakuna muislam atakutajia zaidi ya hapo. Na...
  7. A

    Al-Barzakh: Haya ndio Maisha ya Kaburini baada ya kufa

    Ni kwamba hujanielewa ndugu yangu hiyo taurati injili zaburi vyote vilituma na waislam wa kabla ya mtume Muhammad baada ya hapo washirikina wakavibadilisha maana katika baadhi ya aya, Allah akamteremshia quran mtume Muhammad iwe ndo muongozo wa umma huu,, na nimekuambia pia tumefahamishwa hayo...
  8. A

    Al-Barzakh: Haya ndio Maisha ya Kaburini baada ya kufa

    Na waliopita kabla yako pia walisema hayo unayoyasema kabla ya hata Huyo mtume wa Allah Muhammad rehema na amani ziwe juu yake. "Na wanaposomewa Aya zetu zilizo wazi, wale waliokufuru husema juu ya haki inapowajia: Huu ni uchawi ulio wazi" "Au wanasema: Ameizua! Sema: Ikiwa nimeizua mimi, basi...
  9. A

    Al-Barzakh: Haya ndio Maisha ya Kaburini baada ya kufa

    1. Torati( nabii musa) 2. Zaburi( nabii daudi) 3. Injili( nabii issa) hivo ni vitabu ambavyo vinatumiwa na baadhi ya imani zisizokuwa ya kiislam mpaka sasa 4. Qur'an( ilipoteremshwa quran hivo vitabu vya nyuma vilifutwa ikawa havitumiki katika umma huu wa mtume Muhammad na sio kama havipo...
  10. A

    Al-Barzakh: Haya ndio Maisha ya Kaburini baada ya kufa

    Hakuna kitabu kilichopotea..vitabu vyote vipo na sisi watu wa umma huu wa Rasul Muhammad rehema na amani iwe juu yake tumepewa quran iwe ndo muongozo wetu na sio vyengine. Na quran ipo na inasomwa na billions of peoples. Na ukiisoma pia utapata muongoze wa kumjua yule alokuuumba na na akamuumba...
  11. A

    Al-Barzakh: Haya ndio Maisha ya Kaburini baada ya kufa

    Ndani ya mwili wa binaadam kuna kitu kinaitwa roho na roho ni katika Amri za Allah hakuna ambae ana elimu nayo zaidi yake yeye mwenyewe Allah na roho wakati mtu akifariki inatenganishwa na huo mwili..na roho pia ndio ambazo huadhibiwa kwaiyo kule kuchomwa mtu moto pale na akawa jivu sio mwisho...
  12. A

    Al-Barzakh: Haya ndio Maisha ya Kaburini baada ya kufa

    Sio kama hakuvilinda ila uelewe kwamba Allah ametuma mitume wengi kati ulimwengu huu ili kuwaonya binadamu na aliwapa muongozo kutokana na mahala na watu husika na na mtume Muhammad rehma na amani ziwe juu yake ndo mtume wa mwisho wa Umma huu ambao ni mimi na wewe sasaivi.kwahiyo vitabu ambavyo...
  13. A

    Al-Barzakh: Haya ndio Maisha ya Kaburini baada ya kufa

    Mimi sijaongea kibaolojia nimepigia mfano wa jambo lilivyo ili mtu ambae hana uelewa aweze kuelewa kwa sababu hya mazingira ambayo tunayaishi yana mifano mingi ya maisha yetu sisi binadamu..imani sisi kama waislam tunaamini kile ambalo tumefahamishwa ndani ya quran na sunna za rassul lakini...
  14. A

    Al-Barzakh: Haya ndio Maisha ya Kaburini baada ya kufa

    Na waliambiwa kama ni hadithi za zamani walete mfano wake adi leo wameshindwa,,quran ni kitabu cha hakki ukitaka usitake na vile vilivyoteremsha kabla yake pia ni hakki isipokuwa walokuja wakabadilisha maana na wakaweka wanayoyataka wao kwenye hivo vitabu vya nyuma,,Taurat, injili na Zaburi..Na...
Back
Top Bottom