Recent content by Abby Thabit

  1. Abby Thabit

    Je, kufanya mapenzi na kukojoa nje kwa Wanaume hupunguza nguvu za Kiume?

    Uki Uki i-balance vizuri hakuna haja ya ku-boost kwa nje wala nini unasubiri hadi sekunde ya mwisho ukichomoa tu wazungu haaoo kama wana mfukuza mwizi vilee.
  2. Abby Thabit

    Je, kufanya mapenzi na kukojoa nje kwa Wanaume hupunguza nguvu za Kiume?

    Boss mimi nna mwaka wa tatu namwaga nje mbona haijawahi kutokea hiyo mimba isiyotarajiwa?
  3. Abby Thabit

    Je, kufanya mapenzi na kukojoa nje kwa Wanaume hupunguza nguvu za Kiume?

    alexmahone, Boss ule ute hauna uwezo wa kutungisha mimba
  4. Abby Thabit

    Je, kufanya mapenzi na kukojoa nje kwa Wanaume hupunguza nguvu za Kiume?

    Hivi wewe ni mwanaume au mwanamke? Nani aliye kudanganya yakuwa manii zinaweza kukutoka bila ya wewe mwenyewe kujijuwa?
  5. Abby Thabit

    Ufumbuzi wa tatizo la bili kubwa ya umeme huu hapa

    Bro hicho kifaa kina kazi gani?
  6. Abby Thabit

    Ufumbuzi wa tatizo la bili kubwa ya umeme huu hapa

    Wadau kwa mwenye utaalam na vifaa umeme naomba mnisaidie kazi ya hiki kifaa. Kimeandikwa maneno haya kama ifuatavyo: NEOSTAR TC - 300W AC - CONVERTER 220V TO 110V 50Hz - 60Hz MAX - 300W masada wenu wadau hiki kifaa kina kazi gani?
  7. Abby Thabit

    Faida za kula ndizi mbivu

    Mtoto wangu ana umri wa miaka miwili. Anapenda sana kula ndizi mbivu je ni sahihi kwa mtoto wa umri huo kula ndizi mbivu?
Back
Top Bottom