Hizo sifa ni za wanawake wa enzi za "Zama za Mawe", Hawa wa sasaiv ukibahatisha aliyeko na hata nusu ya sifa moja wapo tajwa hapoo, OA Fastaaaaaaaa ratio ni 1:10000.
Hapa naona watu wanakujibu (their feelings) "hisia zao" kwa jinsi wanavyoelewa kuhusu kutoka kwa bikra, nadhani kimsingi unahitaji majibu ya kitaalamu zaidi ama kitabibu, inawezekana ikatokea hali kama iyo kama mhusika anazo disorder fulani ama pia inawezekana isiwe kweli kutoka bikra bila damu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.