Recent content by Abati

  1. A

    Orodha ya Majimbo ambayo CCM wameyapoteza mpaka sasa

    Na jumbo la Kyerwa
  2. A

    Kigoma - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Hana support bungeni, hivyo hatakuwa na nguvu. labda apewe support na wabunge wa ccm!
  3. A

    Sumaye atakiwa kujibu tuhuma za meno ya Tembo

    Mkirindi Sumaye kumnadi Lowassa ni kwa sababu ameingia kwenye chama safi. Ameokoka! Alivua magamba, hivyo anastahili.
  4. A

    Zitto azomewa Bukoba

    picha uliyoweka siyo Bukoba
  5. A

    Mkutano wa Kihistoria wa Kinana uwanja wa Mashujaa, Mayunga - Bukoba

    Watu walikuwa wachache ukilinganisha na mikutano ya CHADEMA. Maana mkutano wa CHADEMA huwezi kupata nafasi ya kukukaa kama ilivyo kwenye mkutano wa mafisadi.
  6. A

    Zitto: Nashangazwa na Msimamo wa Mbowe Kuhusu UKAWA

    Wanaosema zzk ni mpiganaji, mbona zawadi ya uanaharakati? Alipewa mwenye msimamo, mh. David K (suala la escrow). Zzk hajafanya lolote kwa escrow kwa manufaa ya wananchi bali kwa manufaa yake na ndo maana hakupewa yeye. Yeye alidandia kama kawaida yake. Lengo lake ni kuharibu upinzani lakini...
  7. A

    Mbowe asema hawamtaki Zitto Kabwe kwenye UKAWA

    Zzk hakuna kazi aliyoifanya kwa maslai ya taifa bali ilikuwa ni kisiasa na manufaa yake, ndo maana ripoti aliilinda kwa moyo wote. Alipewa kazi ya kuchafua watu kisiasa, ndo maana hakuweka majina waliochukua pesa kupitia stanbic bank. Kama angekuwa mzalendo angepigana mpaka kupata hayo majina...
  8. A

    Mbowe asema hawamtaki Zitto Kabwe kwenye UKAWA

    Wewe ndo mpumbavu! Sababu: hujajibu maswali niliyouliza badala yake umeishia kutukana. Aliyekufundisha hukumuelewa kama ulienda shule. We pinga uchunguzi wangu kuhusu huyo mwehu wenu kwa hoja na si matusi. Hivi ulisomea chuo gani?
  9. A

    Mbowe asema hawamtaki Zitto Kabwe kwenye UKAWA

    We hukunielewa! Soma tena. Na kama unasema spika aliwabana wabunge wachache, je wao walipoamua kunyanyuka kwenye viti, zzk alinyanyuka? Zzk alichofanya ni kukubali hoja ya chenge(mwizi -escrow). Na kama unakumbuka zzk alibadilika baada ya kutuhumiwa kuwa na yeye alipata mgawo. Kwa nini waliopewa...
  10. A

    BAVICHA Mbeya: Polisi wamewabambikia kesi vijana wa CHADEMA, hawana hatia

    Vile vitu vilikuwa vipya na hilo lilionesha uongo wa polisi waziwazi. Lakini wajue siku ikifika hawatajua kama ni polisi mbele ya wananchi maana wametuchosha.
  11. A

    IGP Mangu: Marufuku kuwa na Vikundi vya Ulinzi vya Vyama vya siasa kwani ni kinyume cha Katiba na Sheria ya nchi

    Polisi siku hizi hawaaminiki kwa wananchi ndo maana wanashawishika kutengeneza vikundi vya ulinzi. Polisi hawatulindi, wanatuwinda!
  12. A

    Mbowe asema hawamtaki Zitto Kabwe kwenye UKAWA

    Mnaomtetea zzk kuwa si msaliti nifafanulie hili: kwa nini alikubali mawazo ya chenge ilhali alikuwa anajua kuwa na yeye ni mtuhumiwa kwenye wizi wa escrow? Na kama ni mzalendo kwa nini hazidi kupambana na serikali ili iwafilisi waliyochukuwa pesa hizo kama maamuzi yalivyotolewa bungeni? Mwenye...
Back
Top Bottom