Recent content by A_Girl_Child

  1. A

    JamiiForums Tanzania Siku 180 za “NoFAP” Challenge. Vitu vikubwa na muhimu nilivyojifunza

    Wala usijali hizi negative comments, Hongera sana keep it up. Haya mambo yanawezekana sema ukiwa hujavuka unaona kama ni kitu kisichowezekana.
  2. A

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa kitanzania hawafai, wacha nitafute another race or culture

    Maskini sijui wamemfanya Nini kaka wa watu
  3. A

    JamiiForums Tanzania Ananiambia nijipange, kwao Mahari huwa ni kubwa. Nimempa assignment

    Mahari kubwa ni swala la kwanza Ila maneno yako yanareflect perception yako kwa mwanamke ni swala la pili ambalo ni hatari zaidi huyo mwanamke atakaekubaliana na wewe tuanze kumuombea mapema.
  4. A

    JamiiForums Tanzania Nipo humu kwa lengo la kupata mke mwema

    Haya masharti ni ya kuoa au ya kuingia mbinguni? [emoji848][emoji848] Ok ok all the best
  5. A

    JamiiForums Tanzania Kumbembeleza mwanamke wakati wa kumtongoza ni kujidhalilisha uanaume wako

    Chukua Pepsi bariiidi kwa mangi ntalipa
  6. A

    JamiiForums Tanzania Mke na mume tumeleta mashtaka kwenu

    Mpaka umesema mwanamke ni liability tayari imeshakusumbua. Jipe moyo mkuu Dunia ndio ipo hivyo.
  7. A

    JamiiForums Tanzania Mke na mume tumeleta mashtaka kwenu

    Na wewe endelea kugongewa nje umewakilisha wanaume wengi wavumilivu [emoji4][emoji4][emoji4]
  8. A

    JamiiForums Tanzania Mke na mume tumeleta mashtaka kwenu

    Vipi kuhusu mkeo?
  9. A

    JamiiForums Tanzania Mke na mume tumeleta mashtaka kwenu

    Nyie wote mnaomlaumu huyo singo maza HAMNA AKILI, mmeshindwa kuona kosa alilolifanya huyo mwanaume la kuacha kuhudumia mtoto mmeliona la singo maza kuwasiliana na baba mtoto, narudia tena HAMNA AKILI huyo mwanaume kaonesha ubinafsi kwa kuacha kumuhudumia mtoto mlitegemea huyo mama afanye nini...
  10. A

    JamiiForums Tanzania Nimegundua wanawake wote duniani wanapenda uume mkubwa

    Si kwamba mtu anatamani ni katika kushangaa tu kwamba huyu mbona si wa kawaida. Kwa lugha nyepesi ni kustaajabuna si kutamani [emoji3][emoji3]
  11. A

    JamiiForums Tanzania Kazi ya Ualimu ni kazi ya ajabu sana, nifanyaje nijitoe?

    Basi fanya kubadili fani, kuna mwalimu alienda kusomea udaktari sasa hivi keshakua daktari.
  12. A

    JamiiForums Tanzania Kazi ya Ualimu ni kazi ya ajabu sana, nifanyaje nijitoe?

    Dah pole ndugu kama una ajira ya serikali kaongeze elimu ukiwa na mshahara huwezi kushindwa kulipa ada. Mungu akusaidie upate kazi utakayoifurahia.
  13. A

    JamiiForums Tanzania Kazi ya Ualimu ni kazi ya ajabu sana, nifanyaje nijitoe?

    Ila humu Jf jamani Mimi nakushauri nenda kasome kitu kingine ambacho unakipenda ukirudi ubadili fani tu maana ajira tayari unayo au kaongeze elimu unakuwa na uwezekano mkubwa wa kutokufundisha shuleni japo nayo sio guarantee.
  14. A

    JamiiForums Tanzania Kipi kinachukua asilimia kubwa sana kama sifa ya mwanamke kuolewa?

    Huyu 44mg44 amekuja kuchangamsha genge tu sidhani kama yupo serious
Back
Top Bottom