Recent content by A2N

  1. A2N

    Ushauri: Nimechoka na hii hali ya kuachwa na wanaume

    Uko right heaven lazima avunje madhabahu za kwao na akemee hiyo roho ya kukataliwa
  2. A2N

    Ushauri: Nimechoka na hii hali ya kuachwa na wanaume

    Mimi nakutia moyo kazana kuomba, mume mwema unapata toka kwa Bwana, wakati ukifika Mungu atakupatia mwenza wa Maisha yako, lazima uelewa Mungu anakusudi na wewe, tulia tuliza akili, usihangaike, tunza mwili wako, muda ukifika kusudi la Mungu litatimia, utapata mume wa Maisha yako, be blessed dear
  3. A2N

    Tuliotelekezwa na baba zetu tukutane hapa

    Am proud of u guyz, may God be with u alwayz
  4. A2N

    Nimekuta 74,549,940.36 kwenye account yangu

    Usitumie kama si mali yako unaweza kuona ni bahati kumbe ikajakuwa balaa kwako, uliza bank ujue nn shida
Back
Top Bottom