Habarini wana jf, nina mdogo wangu kamaliza kidato cha nne 2016, na matokeo yake yalikua hivi...............physics D, chemistry C, biology C, geography C, English C,civics C, kiswahili C,history D, na basic math F.....swali langu ni course gani ya afya anaweza kusomea maana kila nkiangalia...