Recent content by A QUEEN

  1. A QUEEN

    Ilikuwaje ulipokutwa na kitu ulichokatazwa nyumbani kwenu

    Hivi hii michezo ni mimi. tu ndio nilikuwa sielewi inaendelea au sababu nilikuwa sipendi michezo wa kombolela🤣
  2. A QUEEN

    Ilikuwaje ulipokutwa na kitu ulichokatazwa nyumbani kwenu

    Sijawahi jiuliza ila ngoja nifanye utafiti
  3. A QUEEN

    Ilikuwaje ulipokutwa na kitu ulichokatazwa nyumbani kwenu

    Aaah wapiiiii vimeseji vilikuwepo ndio ila sio vya kusababisha kuvuliwa Pichu mostly ilikuwa ni kuchat na my friends na kusoma visa hapa na pale pia kuna website ilikuwa ya novels ndio muda mwingi ilikuwa unaishia huko
  4. A QUEEN

    Ilikuwaje ulipokutwa na kitu ulichokatazwa nyumbani kwenu

    Kwa hiyo ukatoka au ukaacha kuwapa watoto ndomu😁😁😁
  5. A QUEEN

    Ilikuwaje ulipokutwa na kitu ulichokatazwa nyumbani kwenu

    🙆🙆🙆 Kheee sasa wewe si itakuwa umeachiwa radhi kabisa kujua utupu wa wazazi🤸
  6. A QUEEN

    Ilikuwaje ulipokutwa na kitu ulichokatazwa nyumbani kwenu

    Nilikuwa siingii kama naingia chooni lazima niombe ruhusa na nilikuwa narudisha simu weekend sababu ndio siku ambazo wazazi wanakuwa nyumbani muda wote baba sana ni Sunday
  7. A QUEEN

    Ilikuwaje ulipokutwa na kitu ulichokatazwa nyumbani kwenu

    Inahusiana nini sasa mimi simu nilikuwa nataka kutumia sana sababu marafiki zangu wengi walikuwa wanatumia hamna kingine
  8. A QUEEN

    Ilikuwaje ulipokutwa na kitu ulichokatazwa nyumbani kwenu

    😆😆😆 ile aibu unahisi wiki mzima baada ya tukio
  9. A QUEEN

    Ilikuwaje ulipokutwa na kitu ulichokatazwa nyumbani kwenu

    Ni aibu sana kitu unafanya kwa siri ghafla kikajulikana hadharani🙌. Upande wangu kama ambavyo ilivyo kwa watoto wengi hasa wa kike nilikatazwa kutumia simu mpaka nifike kidato cha nne,jambo ambalo binafsi sikukubaliana nalo.Nilipewa hela ya tuition nikanunua simu kiswaswadu nikawa natumia kwa...
  10. A QUEEN

    Jamvi la Wanawake: Mabinti mmewafanya nini hawa wanaume huu mwaka, mbona wana hasira hivi?

    Men are getting a taste of their own medicine and it is BITTER ndio maana kelele zimekuwa nyingi
  11. A QUEEN

    Hoja: Utaratibu wa Mahari unatakiwa ufutwe, jamii ibadilike...!!

    Mfano tukisema utoe sababu kuwatetea utatoa ipi mkuu
  12. A QUEEN

    Hoja: Utaratibu wa Mahari unatakiwa ufutwe, jamii ibadilike...!!

    Yote hayo yanaweza kutokea pia yasitokee lakini huwezi kuacha kufanya kitu kwa sababu ya kusema atakuja tu kufanya hiki ni kama mnaingia kwenye ndoa na hamjui mnaoa akina nani
  13. A QUEEN

    Hoja: Utaratibu wa Mahari unatakiwa ufutwe, jamii ibadilike...!!

    Umeongelea upande mmoja vipi kuhusu waliotulia wenye mwanaume mmoja waliolelewa wakaleleka
Back
Top Bottom