Recent content by __init__

  1. I

    JamiiForums Tanzania Naomba mwenye sample ya mkataba wa kununua kiwanja yenye content hizi

    I Just found that kwenye pita pita zangu, take a look inaweza kumpa mtu mwanga
  2. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimwache akapange au niondoke mimi?

    NI Mwanadamu kama wewe ndugu
  3. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimwache akapange au niondoke mimi?

    Asante mkuu
  4. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimwache akapange au niondoke mimi?

    Mtoto ana miaka miwili na miezi sita
  5. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimwache akapange au niondoke mimi?

    Asante brother
  6. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimwache akapange au niondoke mimi?

    Thanks
  7. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimwache akapange au niondoke mimi?

    Asante kwa ushauri
  8. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimwache akapange au niondoke mimi?

    Ninampango wa kuondoka nimwachie kila kitu maana uwezo wa kununua vingine upo so vitu kwangu siyo shida, labda nguo zangu tu na vifaa vyangu vya kazi
  9. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimwache akapange au niondoke mimi?

    Mkuu nilishawahi mpiga kipindi ambacho sikujua ana mimba changa ikapelekea mimba kutaka kutoka sijamgusa tena mpaka leo
  10. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimwache akapange au niondoke mimi?

    Kuondoka anasema mpaka mwakani, mimi nimechoka sana na nikimwona najawa na hasira sana kiasi kwamba huwa naondoka tu home na kwenda matembezi yangu sometimes naenda kulewa. I am so stressed kiasi kwamba sitaki ugomvi kabisa
  11. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimwache akapange au niondoke mimi?

    Kagoma kwenda kwao anasema hawezi kurudi kwao wala kuishi kwa ndugu yake yoyote ataishi maish yake tu
  12. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimwache akapange au niondoke mimi?

    Asante
  13. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimwache akapange au niondoke mimi?

    Suala la mahali halipo tena mkuu,
  14. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimwache akapange au niondoke mimi?

    Hicho kitendo cha kwenda kupanga najua hatoweza maana hana pesa, nilimfungulia kibiashara cha salon ambacho huwa hata sijui anachoingiza, anabaki kulaumu simjali yaani dah!
  15. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimwache akapange au niondoke mimi?

    Thanks ni imani tu mkuu, na sikutaka kuzunguka kwenye mahusiano tofauti tofauti
Back
Top Bottom