Recent content by 7scom

  1. 7scom

    JamiiForums Tanzania Ulipokuwa unashindia Mihogo na Kunywa Maji, walikuwa wapi?

    Labda anamaanisha 2024
  2. 7scom

    JamiiForums Tanzania Ulipokuwa unashindia Mihogo na Kunywa Maji, walikuwa wapi?

    1994 umalize chuo ukose ajira ukabebe zege kipindi hicho waajiri wanakuja chuoni mapema
  3. 7scom

    JamiiForums Tanzania Kuna siku utakutana na Mungu ukiwa peke yako

    hakuna uzembe wala nini ndomaana mzazi mmoja anaeza kuzaa tasa na mwingie ana uwezo wa kuzaa
  4. 7scom

    JamiiForums Tanzania Kuna siku utakutana na Mungu ukiwa peke yako

    Hilo najua kwamba nimetokana na wazazi wangu na watoto wangu watatokana na mimi na mama yao
  5. 7scom

    JamiiForums Tanzania Kuna siku utakutana na Mungu ukiwa peke yako

    Sijui
  6. 7scom

    JamiiForums Tanzania Kuna siku utakutana na Mungu ukiwa peke yako

    Kaenda kusikilizia mgao wa mirathi :3Heading:
  7. 7scom

    JamiiForums Tanzania Kuna siku utakutana na Mungu ukiwa peke yako

    wameongeza mkanganyiko usio na maana
  8. 7scom

    JamiiForums Tanzania Kuna siku utakutana na Mungu ukiwa peke yako

    Swali zuri pia kwamba tuliletwa duniani ilituishi tufe then tuhukumie :D ivo tuu
  9. 7scom

    JamiiForums Tanzania Kuna siku utakutana na Mungu ukiwa peke yako

    Bila mzungu na waarabu kuja tungeendelea na mila zetu na maisha yangekuwa na maana tuu
  10. 7scom

    JamiiForums Tanzania Kuna siku utakutana na Mungu ukiwa peke yako

    Kila kitu kina sababu Wale wasandawe wanaoishi porini wanajuaje hilo au hadi wazungu na waarabu wawafikie
  11. 7scom

    JamiiForums Tanzania Kuna siku utakutana na Mungu ukiwa peke yako

    Tumjue ili iweje
  12. 7scom

    JamiiForums Tanzania Kuna siku utakutana na Mungu ukiwa peke yako

    Tulikuja kufanya nini duniani
  13. 7scom

    JamiiForums Tanzania Kuna siku utakutana na Mungu ukiwa peke yako

    Sisi tulikubali lini au uliambiwa na maandiko kuwa adam ndo alikula tunda Yaani shetani alitaka nafasi yake akamtupia duniani alafu unasema tulitaka
  14. 7scom

    JamiiForums Tanzania Kuna siku utakutana na Mungu ukiwa peke yako

    So anampenda shetani kuliko sisi maana katuletea shetani ili yeye abaki free huko mbinguni
  15. 7scom

    JamiiForums Tanzania Kuna siku utakutana na Mungu ukiwa peke yako

    Kwa nini alimruhusu shetani duniani
Back
Top Bottom