Recent content by Sa 7 mchana

  1. Sa 7 mchana

    Namna gani naweza kuagiza vitu mtandaoni?

    Unataka kuagiza bidhaa gani?
  2. Sa 7 mchana

    Upi ni umri muafaka kwa mtoto kumiliki simu ya mkononi

    Apewe simu akiwa na umri wowote. Muhimu wewe ndio upunguze wivu.
  3. Sa 7 mchana

    Upi ni umri muafaka kwa mtoto kumiliki simu ya mkononi

    Wajuba wakidaka namba imeisha iyo.
  4. Sa 7 mchana

    Ushauri wa namna ya kujiajiri Kwa vijana waliohitimu vyuo vikuu

    Hao wazungu wanaokuja kufanya volunteering za hapa na pale usicheze nao mbali. Nako nikujiajiri
  5. Sa 7 mchana

    Biashara ya nafaka Dar ipoje

    Vizuri, muda wa kijifunze vitu vingi bado unao. Kila la heri
  6. Sa 7 mchana

    Serikali ya Marekani yatangaza kuanza kwa programu ya diversity visaby U.S

    Iyo program ipo toka mwaka 1995. We ndio imeijua leo tena kutoka kwa wahuni.
Back
Top Bottom