Search results

  1. Sa 7 mchana

    Namna gani naweza kuagiza vitu mtandaoni?

    Unataka kuagiza bidhaa gani?
  2. Sa 7 mchana

    Upi ni umri muafaka kwa mtoto kumiliki simu ya mkononi

    Apewe simu akiwa na umri wowote. Muhimu wewe ndio upunguze wivu.
  3. Sa 7 mchana

    Upi ni umri muafaka kwa mtoto kumiliki simu ya mkononi

    Wajuba wakidaka namba imeisha iyo.
  4. Sa 7 mchana

    Ushauri wa namna ya kujiajiri Kwa vijana waliohitimu vyuo vikuu

    Hao wazungu wanaokuja kufanya volunteering za hapa na pale usicheze nao mbali. Nako nikujiajiri
  5. Sa 7 mchana

    Biashara ya nafaka Dar ipoje

    Vizuri, muda wa kijifunze vitu vingi bado unao. Kila la heri
  6. Sa 7 mchana

    Serikali ya Marekani yatangaza kuanza kwa programu ya diversity visaby U.S

    Iyo program ipo toka mwaka 1995. We ndio imeijua leo tena kutoka kwa wahuni.
  7. Sa 7 mchana

    Ni sheria zipi nchini Tanzania zinazokataza Mahusiano ya Kimapenzi kati ya ndugu?

    (d) WAFUNGA NDOA WASIWE MAHARIMU: Maharimu ni watu walio na mahusiano ya karibu ya damu au kindugu. Wawli wanaoamua kufunga ndoa wasiwe na uhusiano wa karibu kindugu. Inakatazwa katika kifungu cha 14 cha Sheria ya ndoa ya mwaka 1971 mtu kuoa au kuolewa na mzazi wake, mtoto au mjukuu wake...
  8. Sa 7 mchana

    Ulifanyaje kipindi huna hela? Yaani maisha yamekupiga total knock out!

    Great inspiration. Sio wale wengine stori zao zinaruka kama CD ya james bond.
  9. Sa 7 mchana

    Ulifanyaje kipindi huna hela? Yaani maisha yamekupiga total knock out!

    Kuulizia kuwa manyema kunamishe gani ni umezingua. Ilitakiwa umcheki bhana pm mwasiliane muonane then along the way ukifika manyema mwenyewe utaangalia au kuelekezwa maana jamaa ameonesha kutaka kukuonesha njia.. Ila wewe unaleta ujuaji.
Back
Top Bottom